Mp Rorya: Nikishidwa 2015 naondoka na samani zangu.

Smartboy

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,110
128
Mh. Lameck Airo amejitokeza na kusema asipo chaguliwa 2015 kuwa mbuge wa Rorya, anaondoka na samani zote za ofisi. Hizi ni pamoja na meza,viti,kabati, nk.
My side hivi hawa wabunge wa ccm huwa wanafikiria nini, mbona kila anayeongea anatema pumba. Hebu fikirieni point kama hii unaweza kusema huyu jamaa anafaa kuwa mbunge! Naona ccm inaisha taratibu yaani hakuna mwenye uafadhali.
Source gazeti la Mzawa la jana.
 
Mi nilicchoona kikubwa ni kwamba Airo ameona (bila ya shaka) kwamba hataweza kuwa Mbunge wa Rorya tena!
 
Darasa la saba! yeye anadhani vifaa vya ofisi kwake vinasaidia nini mpiga kura wa kawaida!? Mbona najua wajaluo wameenda sana shule hamna Mjaluo aliyekomaa wa CDM agombee huko! au wajaluo wote ni CCM?
 
Itanibidi nijiandae ili ikifika 2015 niende nikaokoe jahazi.
 
acha ujinga we mbunge hivi hizo samani zako zina thamani ya kiasi gani?mbona 2015 mbali sana utachaguliwa tena lkn wape huduma muhimu wa2 wako
 
Mh. Lameck Airo amejitokeza na kusema asipo chaguliwa 2015 kuwa mbuge wa Rorya, anaondoka na samani zote za ofisi. Hizi ni pamoja na meza,viti,kabati, nk.
My side hivi hawa wabunge wa ccm huwa wanafikiria nini, mbona kila anayeongea anatema pumba. Hebu fikirieni point kama hii unaweza kusema huyu jamaa anafaa kuwa mbunge! Naona ccm inaisha taratibu yaani hakuna mwenye uafadhali.
Source gazeti la Mzawa la jana.

Huyu amesikia harufu ya John Mashaka 2015 wa Chadema na Prof. Monyo. Anajua kabisa hataweza kustahimili hoja za Mashaka John, kwa maana hiyo ameanza kujitayarisha kabla ya Muda kufika. Achukue hadi pazia
 
Anatakiwa awe buzy kuwahudumia wananchi wake. Huu sio muda wa kufikiria kama utashinda 2015. Yaani mtu hana hata mwaka tayari anafikiria 2015?
 
inaonekana jinsi sisiemu wanavokosa usingizi/wasivonauhakika wa 2015. haiwezekani mtu (mbunge) sasa uanze kufikiria kushindwa uchaguzi ujao,alitegemewa awe busy kuhudumia/kutatua kero za wananchi. ccm kimsingi wameisha. sikiliza hata kauli zilizotoka kwenye mkutano uliofanyika pwani dk kawambwa nae akiwepo. hamna kitu tena
 
Back
Top Bottom