Moyo unatafuta mwenzi!!!

Man Ngosha

JF-Expert Member
May 2, 2012
219
69
Habari zenu!!
Naitwa John nipo Dodoma,natafuta mpenzi, 22 - 24yrs aliye serious na mahusiano na mwenye focus ya maisha ya baadae!!Elimu kuanzia diploma,awe mKristu,mrefu wastani!!Mimi nina miaka 26,mrefu,mkristu,elimu yangu degree!! Itakuwa vyema kama atakuwa Dodoma!!!
Kwa aliye tayari aniPM.
 
Vigezo vyako ni miaka tu? asije akakutafuta mdada wa watu ukamzingua ukaanza oooh nataka aliyesoma sijui mweupe mkristu, kama una vigezo vingine weka vyote, kama ni miaka tu, Fine utapata wako wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom