Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”.

Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki.

Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie kushindwa hata kama jambo lina ugumu gani.

Tushirikishe, motto wa taasis gani unakuvutia?
TRA -pamoja tunalijenga taifa
@vodacomtanzania- kazi ni kwako
TANESCO-Tunaliangaza Taifa
 
Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”.

Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki.

Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie kushindwa hata kama jambo lina ugumu gani.

Tushirikishe, motto wa taasis gani unakuvutia?
Never Say die
 
Back
Top Bottom