OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,654
- 9,258
Timu yake ya MAMELOD SUNDOWNS inawachezaji wazawa wengi na ndio timu inayofanya vizuri kwa sasa afrika, timu ya taifa ya RSA ni mamelody hiyo hiyo kilichofanyika ni kuwavua jezi na kuwavalisha jezi za taifa,
Hakuna mchezaji anatokea chelsea, liverpol, manchester city wala bayern munich, lakini wamefanya maajabu na wamefanikiwa kuipa thamani ligi yao , soon timu kubwa za ulaya zitahamia south kununua wachezaji,
Jamani tuache kukalili hata sisi tungewaamini wazawa wanaokipiga hapa hapa NBC tungefanya vyema zaidi sikuona sababu ya msingi kuita wachezaji wanaocheza daraja la tano ulaya na wengine wakiwa hawana vilabu vya kuchezea pia sikuona sababu ya kuwa na kocha mwarabu