Moto waunguza mitambo ya Vodacom, wadhibitiwa!

Issue ni ushahidi unataka kufutwa .kwani hamjamuona mwakyembe ?
Ameagiza wakamatwe...
Ni mawasiliano gani yalitumika kupitisha kg 150? Akili mukichwa ....

Kwa Tanzania inawezekana, lakini hata kama moto umetokea, tukio la kupitisha madawa halijatokea jana na kampuni lazima iwe na BCP na mambo ya disaster recovery. Nategemea wanafanya backup na zinawekwa offsite, na hii ni compliance.
 
huu mtandao mkubwa bana Walitakiwa atleast wawe na recovery site kwa kila major serving site( iwe switch or whatever you call it) .kuwakosesha watu mawasiliano kwa siku nzima ni chaos kwa kweli.
Maji yamewafika shingoni , hadi huduma kwa wateja nayo imefungwa kwa mda.
 
Naona wamerudi hewani by saa 7:50 ya asubuhi ya leo.

KWELI NYUMBA NDOGO KUMBE NI MUHIMU.
 
Lazima hujuma hapo siamini kama voda wanatumia switch za mchina.
 
Mie sijali kama wameungua au la, nataka refund ya kifurushi changu cha jana
 
Mbadala wake ni kuwa na moderm zamakampuni mengine ya uhakika kama SMILE
 
Ha, ha, ha. Kwanza hata hiyo 3G yenyewe inawashinda. Wabongo hawajui 4g ni nini, kwa hiyo wakidanganywa wanaamini tu. Ukweli ni kwamba hakuna 4 g eneo zima la Africa Mashariki. Hata South sidhani kama ipo

Ipo 4G ya Vodacom kwa eneo la OYSTERBAY MASAKI peke yake nilishiriki kufanya Installations za Optic fiber Cable kwenye sites zote kuanzia kwenye switch ya KWALE Ilizinduliwa December mwaka jana Pale Seacliff Hotel.
 
Ipo 4G ya Vodacom kwa eneo la OYSTERBAY MASAKI peke yake nilishiriki kufanya Installations za Optic fiber Cable kwenye sites zote kuanzia kwenye switch ya KWALE Ilizinduliwa December mwaka jana Pale Seacliff Hotel.

Acha uongo yani voda wagharamikie mamilion kununua Switch ya 4G ili waweze kuweka 4G site masaki? Hapo walichofanya ni expansion tu badala ya kutumia E1 wameamua kutumia STM-1 kuincrease bandwidth tu kuserve more customers na kuruduce congestion,3G yenyewe bado majanga!
 
Back
Top Bottom