Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Wakuu, Nipo hapa Tegeta standi ya Bunju nashuhudia Moto mkubwa sana na kanisa la hapa barabarani limeungua na moto unazidi kusonga mbele na kuunguza mabanda ya biashara mengine. Ohhh Lord of mercy!!!!
ina semekana kuwa jana kulikuwa na mkesha wa maombi, kwenye maombi yao walikuwa wana mlaani babu wa loliondo kuwa anatumia nguvu za giza kwenye dawa yake. Ilipofika saa nane mchana waumini wakiwa ndani ya kanisa ghafla moto uzuka na kuanza kuteketeza kanisa hilo.