Moto Mkubwa unawaka maeneo ya Tegeta

Ngarenaro

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
308
45
Kuna habari inaripotiwa muda huu, kuwa kuna moto mkubwa unawaka katika duka la vifaa vya ujenzi Tegeta. Taharuki ni kubwa sana.
Ambaye yupo eneo la tukio azidi kutufahamisha.

Chanzo ni ITV/Radio One
 
Ni duka au maduka? Nikimaanisha ni 1 au zaid ya 1. Mwenye taarifa zaid tafadhali tunaomba atujuze?
 
Chanzo cha tatizo nini? Mungu awasaidie. Maana ni kuchanganyikiwa huko...duka la vifaa vya ujenzi thamani yake haipungui milioni 100
 
Back
Top Bottom