Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

ni hatari fire-magari yapo mbali sana na maduka mengi hayana insurance,huu mwanzao wa umaskini
 
Haya matatizo ya moto mbona yanazidi kuitesa nchi hii? Kuna haja ya kuchukua tahadhari ili kupunguza madhara yake
 
Hivi hawa jamaa wa Kikosi cha Zima Moto kazi yao ni kuzima moto unapotokea tu? Hawawezi kufanya auditing ili kuona hali ya majengo na maeneo ya biashara na kutoa tahadhari ili kupunguza athari?
 
moto mwenge, jamani hata hivyo pale ni kituo cha daladala vibanda vya biashra vya nini? Ulaji wa watu wachahe wasababisha kituo cha daladala kuwa soko, moto huo uwafunze jamani
 
Daaah nchi iko pabaya saaaaana. Siku hizi kila raia ni mwizi,yaani wamekaa tu wakisubiri ajali wajitwalie vya kwao...Mungu saidia wananchi tz wawe na huruma.
 
Ngoja nitoe shule kidogo,

Ipo hivi, inapotokea nchi inashndwa kutawalika, ndipo huwa kunahitajika defensive mechanism ya kuhamisha state of mind za watu ili kuwasahaulisha kipi muhim walikuwa wanataka.

Kwa mfano, nchini Uingereza kuna watu special kwa ajil ya kuzibadil fikra za wananchi pale linapotokea jambo la kutishia utulivu,

Sasa serikali yetu inatumia njia hyo kitofauti kidogo kwa kuweka majanga ya makusudi ili kuzihamisha akili za wananchi from point A to B.

Mfano, toka suala la gesi kuanza kuchukua sura mpya,
tumeshuhudia Jahazi kuzama Nungwi,
moto PPF, tena Mwenge. Usishangae kuona majanga haya yakaongezeka zaidi na hata kutisha zaid.
Zote ni defensive mechanism za failure political policy za nchi yetu.
Nawasilisha
 
there you are.bwana mahendeleo aka dhaifu yu wapi!?
 
Kwa ninavyoujua msongamano wa maduka ya Mwenge, hasa upande wa vipodozi, mitumba, electronics na pale wanaposukwa akina dada, sidhani kama mabanda yamesalimika. Mengi hayana vizimio moto. Wengine ndo wamelipa kodi juzijuzi, na mikopo juu. Mungu awape nguvu na uvumilivu.
 
Kweli nchi hii haina utaratibu kabisa. Kila kituo cha mabasi kimejaa biashara kiasi kwamba pale ambapo wanaongojea usafiri wanapaswa kusimama/kukaa ndipo palipowekwa meza za biashara. Mamlaka husika inaangalia tu wala hawajali kuwalinda wasafiri na vituo vyao. Kila mahali ni biashara, biashara!! Bararabarani, vituo vya mabasi, kingo za barabara za wapita kwa miguu, viwanja vya michezo, pembezoni mwa maduka ya watu, ilimradi ni vurugu tupu. Moto hauwezi kutusalimisha. Kwa sehemu kubwa hii inatokana na uongozi dhaifu wa Rais dhaifu anayedai kuitwa bwana maendeleo wakati ni bwana safari.
 
Ngoja nitoe shule kidogo,

Ipo hivi, inapotokea nchi inashndwa kutawalika, ndipo huwa kunahitajika defensive mechanism ya kuhamisha state of mind za watu ili kuwasahaulisha kipi muhim walikuwa wanataka.

Kwa mfano, nchini Uingereza kuna watu special kwa ajil ya kuzibadil fikra za wananchi pale linapotokea jambo la kutishia utulivu,

Sasa serikali yetu inatumia njia hyo kitofauti kidogo kwa kuweka majanga ya makusudi ili kuzihamisha akili za wananchi from point A to B.

Mfano, toka suala la gesi kuanza kuchukua sura mpya,
tumeshuhudia Jahazi kuzama Nungwi,
moto PPF, tena Mwenge. Usishangae kuona majanga haya yakaongezeka zaidi na hata kutisha zaid.
Zote ni defensive mechanism za failure political policy za nchi yetu.
Nawasilisha

Mh!..hili nalo neno
 
Umesahau, na Alshabaab wakipiga wananchi Dodoma.
 
Back
Top Bottom