Ndio Hayo hayo Tunalalamika kwenye Thread Nyingine ya poor planning ya Mkandarasi!! Watu Tunapata usumbufu Ila naona Hatujambana Vizuri Mkandarasi na Consultant!!
Hahaha, huyo aliekuita wa mikoani lazma ni mwanamke na atakuwa alikutania kuhusu suti yako ya kushonesha lol!
Natania banaa, hata mie wa mikoani tu, kwani ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.