Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

Ataenda kusalimia ikulu ni yetu sote,lowasaaaaaaaaaa.....mabadilikoooollllll
 
akina sumayi na lowasa kujimilikisha ardhi kiasi hicho kwa maneno ya mzee yusuph makamba kwa anzia leo naichukia sana chadema.
lowasa hafai hata kidogo urais

Makamba anasema eti kwenye ile list ya mafisadi 12 Lowasa alikua namba tatu hivyo Hafai. Anasahau kuwa 11 bado wamo CCM hahaahaha. Babu kazeeka vibaya hadi akili imezeeka. Na fisadi namba moja alikua amekaa naye pale pale bila aibu anamshambulia Lowasa hahahahaha
 
Jaribuni kumsoma tena mleta uzi; Wakati Mh.Magufuli ananadi sera zake ,akawauliza wangapi watamchagua?
Ni wachache walionyosha mikono.

..mambo haya tulishayashuhudia Kalenga, lakini ccm bado wakashinda.

..mimi nitapigia ukawa, lakini nina wasiwasi kweli, sina amani kabisa mpaka nione Lowassa anaapishwa.
 
wakimataifa 1 usiwe mburula wewe...ardhi humilikishwa na serikali baada ya mwombaji kufuata taratibu. kama ni kweli lowassa na sumaye wanazo ardhi basi wamepata hatimiliki toka serikalini vinginevyo kikwete angekuwa amekwishafuta umiliki huo. kama kikwete hajafuta basi huo ni uongo wa yussufu rajabu makamba aliyekwenda kufurahisha wavaa njano tu. sisi tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu. Lowassa anafaa sana na anatosha ndio maana wanahangaika kumtupia madongo.
akina sumayi na lowasa kujimilikisha ardhi kiasi hicho kwa maneno ya mzee yusuph makamba kwa anzia leo naichukia sana chadema.
lowasa hafai hata kidogo urais
 
Huyo anaongozwa na mahaba mkuu...

Ni wale waliohama na Lowassa toka CCM...Thread zao nyingi ni za kimahaba...Hazina mashiko/uhalisia...

..wako wengi humu ndani kwa pande zote.

..sasa hivi napendelea kusoma magazeti nadhani yanafanya kazi nzuri zaidi.

..kuna madogo humu ndani unaweza kusema ni robots kwa jinsi wanavyoanzisha thread nyingi.
 
Tatizo siyo chama bali tatizo ni watu i mean tatizo ni hao wasa na maye

Ndiyo waliokuwa viongozi wa serikali? Hauelewi au kusudi? Hujui nani ni Mwenyekiti wa baraza la mawaziri na kutibu wake? Hivi mmerogwa na nani maccm? Avatar Jina zuri, picha nzuri mbona kwenye upstairs inakuwa vise versa? It is a pity
 
haa haa hayo mashamba wameanza kumiliki leo? blah blah zote hizo kisa hawapo ccm. lowasa ni chaguo letu...
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Bosi hatuna uhakika na hilo,kipindi hiki CCM watakusema kwa lolote so long as you are a threat to them,mbona hawasemi BOT yote wamepea wao,mbona hawasemi na tenda za mafuta wamepeana wao?

tatizo la watu hawajui maana ya siasa. wanadhani kila kinachosemwa na wanaccm ni sahihi...
 
Ndiyo waliokuwa viongozi wa serikali? Hauelewi au kusudi? Hujui nani ni Mwenyekiti wa baraza la mawaziri na kutibu wake? Hivi mmerogwa na nani maccm? Avatar Jina zuri, picha nzuri mbona kwenye upstairs inakuwa vise versa? It is a pity
Kama mtazamo wako ndo huu why unamuunga mkono lowasa na sumaye wakati na wao ndo CCM kasoro miezi miwili iliyopita?
 
Back
Top Bottom