Mons Liberatus Sangu ateuliwa na Papa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga

Namimi nashangaa mara nyingi monsignor hawezi akawa askofu ! why this one ? Halafu Wasukuma kupata uaskofu siku hizi ngumu sana nafikiri inatokana na kuua wazee, albino na kula nyama ya fisi!
Kwa nini? Kwani Monsignor siyo padri? Halafu hapo kwa Wasukuma umechemka Mkuu! Mbona juzi hapa kateuliwa Renatus Nkwande ambaye alipelekwa Bunda! Naye alitanguliwa na Msonganzila jimbo la Musoma! Unafikri makabila yote tutaenea kwenye Uaskofu? Majimbo yenyewe yako wapi Mkuu? Hata hao wachache tulio nao wanatutosha! Mbona nyie Wakwere hakuna hata mmoja!
 
Amewahi kuwa Mkurugenzi wangu wa miito, sumbawanga. Ni mtu mzuri na mnyenyekevu alie na upendo mkubwa kwa watu. Hupenda kujishusha hata kwa walio wadogo
 
Hongera Sana Mkurugenzi Wangu Wa Miito Na Mlezi Wangu Nilipokuwa Kituo Cha Malezi Bakanja. Huyu Ni Mnyenyekevu Na Mpole Sana, Tulipokuwa Chini Yake Hakuwa Na Makuu. Ni Mtu Wa Ibada Na Maadili Ya Kiroho Kiwango Cha Juu. Karibu Baba Nipo Bariadi!
 
Kweli anastahili...namfahamu wakati ule nipo seminary kaengesa ni mtu mwenye upendo, mnvyenyekevu hana makuu...
 
Mungu mwenyezi amlinde na amuongoze katika jukumu jipya la Uinjilishaji.
 
Hongera Sana Mkurugenzi Wangu Wa Miito Na Mlezi Wangu Nilipokuwa Kituo Cha Malezi Bakanja. Huyu Ni Mnyenyekevu Na Mpole Sana, Tulipokuwa Chini Yake Hakuwa Na Makuu. Ni Mtu Wa Ibada Na Maadili Ya Kiroho Kiwango Cha Juu. Karibu Baba Nipo Bariadi!

Bakanja sumbawanga
 
Uko sahihi. Ni cheo cha heshima baada ya kufanya jambo au kazi kubwa na muhimu iliyotukuka ktk kuujenga Ufalme wa Mungu na Kanisa lake.
Nao wanavaa kama maaskofu, labda ni daraja kati ya upadri na uaskofu.Very confusing.
 
Back
Top Bottom