Moment of shame...

Hizi tabia za kubadilisha vichwa vya habari kukizi haja ya watu binafsi ni mbaya sana

Sijui kama kuna HODARI wa COPY/CUT and PASTE kama Shy - kwenye masuala ya IT! Na anafanya hivyo hili kukizi matakwa yake binafsi -

Anapoguswa MKAPA. Shy anahisi MKATE wa FAMILIA YAO unaweza kukosekana .. lol!

MWIZI NI MWIZI TU - Na mengine bado yaja! W.T.?
 
Yaani jamani nyie hii picha mnakiuka kbs sheria kuitundika hapa hivi hamjisikii vibaya hata kuimulika du hatari tupu.ilijichotea mibilions kula ovyo mwili umepanuka kila mahali mpaka PUA kubwa mfereji una afadhali.unapata uongozi kujitengenezea mipresha ya nini?yaani hawa mungu atawabariki
A L,
Rudia kuiangalia hiyo picha kwa makini zaidi, tulia na ichunguze utaona maandishi kwenye paji la uso yanasema FISADI & CO LIMITED.
 
Back
Top Bottom