Mombasa hakuna kulala

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Mmasai alikanywa na wenzake asiende mombasa lkn akajitia hawezi kufanywa kitu kwani atajizngusha sime kiuono chote. Kufika Msa akapata kazi ya hoteli jikoni, Mgunya aliekuwa mkubwa wake udenda ulimtoka kila mmasai anapoinama akiona makalio yake, hajui afanye nini kwa kuogopa sime. Siku moja mmasai alijikata kidole, mgunya akaona hii ndio fursa yake, haraka akamchukua mmasai ndani akachukua kile kidole akakiingiza katika makalio yake na kukisugua akamwambia hiyo dawa asiseme. Kupita wiki Mgunya akajichanja uume wake mbio kwa mmasai akitaka na yeye ile dawa, mmasai bila bugdha akaweka sime kando akamwachia mgunya apate dawa. Kurudi kwao akaelezea dawa za Msa. Palichimbika alipoelezwa kuwa amenanihiwa.
 
hiyo kali
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1: uuuwiiiiiiiii :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
santeee..

Bac cku moja watu walikua wakisafiria lamu na kasuku pia akawa yumo..

Bac kasuku kilikua kinketi nyuma kwa boot ya gari..

Bac na ule kasuku akawaambia yakwamba mukifikia lamu nijulishe na akalala..

Baada ya msafara cwaelewa huchosha..kukawa mjamaa anajitwa(streching)..mara kwa bahati mbaya ile mkono wa mjama ikagusa **** la kasuku...

Kasuku kwa mstuko akasema..

Je tushafika lamu!!.lol
 
Back
Top Bottom