Moja ya Ndege Kubwa Duniani

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
securedownloadCAARJVSY.jpg securedownloadCACBQ0LM.jpg securedownloadCA0DMCKF.jpg securedownloadCARJYWCL.jpg securedownloadCAQAE3UH.jpg securedownloadCA0339KX.jpg securedownloadCA7AMTBP.jpg securedownloadCA9J8B03.jpg securedownloadCAGESH4N.jpg securedownloadCARHO9G9.jpg securedownloadCAXKV16R.jpg securedownloadCAV0LLOR.jpg securedownloadCAE001KX.jpg securedownloadCAA9NDXO.jpg securedownloadCAV7V123.jpg securedownloadCA20EEVT.jpg securedownloadCA72FNE3.jpg securedownloadCAM1AJET.jpg
 
Ngoja tuweke sawa hii maneno:

Broda, ukisema hiyo ni moja ya ndege kubwa kabisa unakanganya, sema kuwa hii ndio ndege kubwa kuliko zote duniani kwa habari ya ubebaji abiria, ikiiacha kwa mbali Jumbo-Jet, Boeing 747 ya Mmarekani ambayo ndiyo iliyokuwa ikishikilia nafasi hiyo
.
Inaitwa Airbus -380, ndege ya Kifaransa, japokuwa parts zake zimetengenezwa sehemu mbalimbali duniani, na ina uwezo wa kubeba kuanzia abiria 550 hadi 850, kufuatana na mahitaji ya wanaoweka order.
Spidi yake ikiwa cruising inafikia km900kwa saa.
Bei ya ndege moja ya aina hii iko kwenye wastani wa US Dola 350Million.
Tanzania haiwezi kutua, labda huko 'sOUND-aFRICA'- Afrika ya kusini.
 
Inaitwa Airbus -380, ndege ya Kifaransa, na ina uwezo wa kubeba kuanzia abiria 550 hadi 800, kufuatana na mahitaji ya wanaoweka order.
Tanzania haiwezi kutua, labda huko 'sOUND-aFRICA'- Afrika ya kusini.

Asante PJ kwa maelezo yako na rekebisha mkuu NDEGE KUBWA DUNIANI..........LOL
 
Ndugu zangu napenda kuwaambia kuwa kwa upande wa ubora wa aerodrome uwanja wa KIA ni bora kulko Oliver Tambo. Achilia mbali swala la miundombinu mingine lakini dege hilo linatua KIA bila shida yoyote.
 
Haifikii hii ANTONOV

images
yaah, antonov 225 mirya ndiyo ndege kubwa kuliko zote duniani kwa sasa. Ingawa hii ni maalum kwa cargo. zito wake pekee unafikia zaidi ya tani 600. ina uwezo wa kubeba tani 250 na uwezo wa kuingiza ndani mzigo wenye urefu wa mita sabini na vile vile inaweza kubeba mzigo kwa nje(na mbeleko?)
 
Ngoja tuweke sawa hii maneno:

Broda, ukisema hiyo ni moja ya ndege kubwa kabisa unakanganya, sema kuwa hii ndio ndege kubwa kuliko zote duniani kwa habari ya ubebaji abiria, ikiiacha kwa mbali Jumbo-Jet, Boeing 747 ya Mmarekani ambayo ndiyo iliyokuwa ikishikilia nafasi hiyo
.
Inaitwa Airbus -380, ndege ya Kifaransa, japokuwa parts zake zimetengenezwa sehemu mbalimbali duniani, na ina uwezo wa kubeba kuanzia abiria 550 hadi 850, kufuatana na mahitaji ya wanaoweka order.
Spidi yake ikiwa cruising inafikia km900kwa saa.
Bei ya ndege moja ya aina hii iko kwenye wastani wa US Dola 350Million.
Tanzania haiwezi kutua, labda huko 'sOUND-aFRICA'- Afrika ya kusini.

Na mmi naomba nikusahishe kdg hyo co ndege kubwa duniani bali ni ndege kubwa ya abiria,ndege kubwa duniani ni Antonov 225.
 
Ndugu zangu napenda kuwaambia kuwa kwa upande wa ubora wa aerodrome uwanja wa KIA ni bora kulko Oliver Tambo. Achilia mbali swala la miundombinu mingine lakini dege hilo linatua KIA bila shida yoyote.
Mabulangati,
Kwa kiasi nakubaliana na wewe!

Kwa Urefu wa RWY, haina shida, runway ya KIA ni moja kati ya njia za kurukia ndefu na bora kabisa katika Afrika.
Shida inakuwa kwenye upana wa hiyo njia. A380 inahitaji njia yenye upana wa Mita 80 kwaajili ya ku'manouvre, tofauti na 747 inayohitaji mita 60 upana wa RWY.

Lakini pia mind you, wingspan ya A380 ni kubwa sana (80 metres) kiasi kwa KIA, almost 1/2 ya bawa itakuwa inatembea kwenye nyasi, tofauti na B747 ambayo wingspan yake iko 60m.
Lakini pia kutokana na nguvu yake ya msukumo wa hewa, ikitua itangoa signage na taa zote za kuongozea ndege, na pia itaangusha majengo yote ya mapokezi,kwa vile hayakujengwa kwa kuiweka ndege hiyo katika mpango-mkuu wa ujenzi(Master Plan)
 
Na mmi naomba nikusahishe kdg hyo co ndege kubwa duniani bali ni ndege kubwa ya abiria,ndege kubwa duniani ni Antonov 225.
Kama umesoma vizuri post yangu utakuwa umeona kuwa nimeshaongelea suala hilo...you are just repeating the stuff!!
 
Back
Top Bottom