Mohamed Mchengerwa Wizara 3 chini ya mwaka mmoja, ni bahati au mkosi?

Ndio alisema kwenye ajira 21 % watoke Zanzibar?

Au sio Huyu Bwana alipokuwa Wizara ya utumishi na mgt ya Umma?
 
Mhe. Mchengerwa leo amepelekwa wizara ya Maliasili kutoka Wizara ya Utamaduni, wala hatuna shida yoyote naye, lakini tunajiuliza ndani ya muda mfupi kuhamishwa wizara tatu tofauti maana yake nini, ana uwezo sana hivyo anahamishwa ili kuokoa wizara zilizodorola au anaboronga, sasa anahamishwa ili kuokolewa kwa sababu ya koneksheni ili labda huko aendako ataweza kupatia na kuua soo la alikotoka?

Kama ana kipaji basi Mungu amzidishie lakini kama anabebwa tu kwa sababu ya koneksheni basi Mungu atuhurumie .
Trouble shooter.
 
Huyu ndiye Waziri wa hovyo kuwahi kutokea tangu kuzaliwa nchi ya Tanganyika.

Mwanzilishi wa nafasi 21% za waZanzibar.Sijui hizo hesabu kazitoa wapi ?.

Muuzaji wa misitu yetu ekta million 8 kwa waarabu ?.Katika mikataba 36 huyu kakabidhi misitu yetu kwa waarabu wakati kule kwao hawana ekta 1 ya misitu.Hovyo kabisa.
 
Mhe. Mchengerwa leo amepelekwa wizara ya Maliasili kutoka Wizara ya Utamaduni, wala hatuna shida yoyote naye, lakini tunajiuliza ndani ya muda mfupi kuhamishwa wizara tatu tofauti maana yake nini, ana uwezo sana hivyo anahamishwa ili kuokoa wizara zilizodorola au anaboronga, sasa anahamishwa ili kuokolewa kwa sababu ya koneksheni ili labda huko aendako ataweza kupatia na kuua soo la alikotoka?

Kama ana kipaji basi Mungu amzidishie lakini kama anabebwa tu kwa sababu ya koneksheni basi Mungu atuhurumie .
KUNA TATIZO BASI TU
 
Huyo mndengereko aliyeoa kizmkazi ni jembe jamaa yupo fiti kimajukumu.
 
Back
Top Bottom