MoF: Awarded Tenders for the Year 2011/2012

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...

Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.

See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we invested in attending the AfDB meeting!
 
Attachments

  • TENDERS-AWARDED-2011-2012-PUBLIC-NOTICE-30-JUNE-2012.pdf
    318.9 KB · Views: 666
Kama sikosei ujenzi wa daraja la kigamboni ni kama 100bn, tungeweza kujenga lile daraja na kuliita UHURU BRIDGE BADALA YA KUNUNUA FULANA NA KOFIA, TUNGEKUWA NA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA UHURU KWA VIZAZI VIJAVYO.

ANC KILE CHAMA TAWALA CHA SOUTH AFRICA, WAO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA ANC WALIJENGA GUNTRAM RAILWAY, TRENI YA UMEME TOKA JORBUG KWENDA PRETORIA SIKU YA SHEREHE WAKAZINDUA ! SISI MH!!!!
 
Invisible- are these figures in bn or millions! I think you misquoted the figures!
 
Hii ni pesa mingi saana imetumika kwenye mambo ya mapambo na kula. Watu wanakula food ya Mil. 16... huwa wanakula nini hawa watu??? Au hiyo misosi katikati ina vipande vya Dhahabu/Almasi???

Then unasikia the same people wanasema nchi haina uwezo kifedha.... Is that this Govt has no Cash or they dont know how and where to use the cash they have... This is why some pips gat Billions in Swiss Banks. Its OK for Doctors, Teachers and every civil worker to Boycott......
 
You pay 14m for airfreshner? One eminent American said that the Government's value is measured by where it's money goes.
Gagnija,

Hukuangalia hii:

Katika AfDB Meeting pekee (sijui huwa kila meeting wananunua laptops?):

Supply of laptops and printers & UPS | Supplier: M/s Simply computers (T) Ltd | TZS 843,620,155
 
Last edited by a moderator:
Dah ndo maana wanavimbisna matumbo mpaka wanashindwa kufikiri
 
Nimeishiwa nguvu!

IT/Computer stationaries kila mahali kama vitafunwa. Security wa vifaa wanasema 500m - Jeshi la polisi limeenda wapi mpaka waweke kampuni binafsi kuchunga mali za serikali, tena hazina? Au jeshi wako busy Mabwepande?
 
Wizara/Idara za serikali zinafuata nini kwenye maonesho? Nane Nane, Saba Saba zinawahusu nini hasa?
Saba saba ni International trade fair, Wizara ya fedha inafuata nini huko?
 
Lukuvi alisema wametumia shilingi bil. 27.5 lakini kwa takwimu hizi anakuwa mwongo kweupeeeeeeeeeeee, na ukizingatia tena wamewapa oxford tender ya kuuza vitabu kwenye hela za ufisadi wa rada
 
Lukuvi alisema wametumia shilingi bil. 27.5 lakini kwa takwimu hizi anakuwa mwongo kweupeeeeeeeeeeee, na ukizingatia tena wamewapa oxford tender ya kuuza vitabu kwenye hela za ufisadi wa rada
na WB wamewaterdown hyo kampuni kwa kujihusisha na ufisadi
 
Lukuvi alisema wametumia shilingi bil. 27.5 lakini kwa takwimu hizi anakuwa mwongo kweupeeeeeeeeeeee, na ukizingatia tena wamewapa oxford tender ya kuuza vitabu kwenye hela za ufisadi wa rada

Na hapa hatujapata takwimu toka wizara nyingine, hasa utumishi maana walifaya maonesho ya hovyo sana pale mnazi mmoja.
 
Hii ni pesa mingi saana imetumika kwenye mambo ya mapambo na kula. Watu wanakula food ya Mil. 16... huwa wanakula nini hawa watu??? Au hiyo misosi katikati ina vipande vya Dhahabu/Almasi???

Then unasikia the same people wanasema nchi haina uwezo kifedha.... Is that this Govt has no Cash or they dont know how and where to use the cash they have... This is why some pips gat Billions in Swiss Banks. Its OK for Doctors, Teachers and every civil worker to Boycott......

No we have money,a lot of them but we lack priorities !

Back
Top Bottom