1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Usiwe **** unapojadili mada,tofautisha kati ya sitting allowance na posho ya kujikumu,anachokataa ni posho ya kusinzia bungeni,jana ulimwona mkuchika na nyoni walivyouchapa usingizi mwanzo mwisho,na wakitoka wanadaa sitting allowance,kweli magamba taaabu sana
Sahihisho liko wapi mkuu?me nimechangia kama mleta mada alivyoileta,mnyika kasema hachukui sitting allowance,kuna mtu akasema mnyika ni mnafiki aseme ni posho gani ambayo achukui,ndio nikamsahihisha kua asome vizuri kwanza hiyo post ndipo atamuelewa Mnyika alimaanisha nini!