Mnyakyusa.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Mnyakyusa alipata bahati ya kutembelea mikoa ya Pwani na Zanzibar.
Aliporudi kwao akaanza kuwasimulia wenzake yale aliyo yaona huko safarini.
Ndugu sangu, fiasi hifi hifi tunafyolima hapa Makandana wana fila Zanzibar. Tanga usiseme, huko wanafila zaidi. Dar ndio balaa, wanafila hadi watoto. Mwe tusidishe juhudu tulime sana ili wensetu wakafile zaidi.
 
Msafara wa ****** ulipo enda kufila Mbeya, nao ukapigwa mawe. Fiasi ni noma. Hahahahhahaha umenitengenezea sana siku yangu. Let me call it joke of the day.
 
ha hahaaaaaaaaaaa haya ngoja tuwasubiri wenye mkoa husika tuone wanasemaje!!
 
fiasi vya mbeya,wanafikata fipande fidogo fidogo wanafiita chipusi na wanafila na na syasyandu!
 
Mnyakyusa alipata bahati ya kutembelea mikoa ya Pwani na Zanzibar.
Aliporudi kwao akaanza kuwasimulia wenzake yale aliyo yaona huko safarini.
Ndugu sangu, fiasi hifi hifi tunafyolima hapa Makandana wana fila Zanzibar. Tanga usiseme, huko wanafila zaidi. Dar ndio balaa, wanafila hadi watoto. Mwe tusidishe juhudu tulime sana ili wensetu wakafile zaidi.

Vyatie chipsi chipsi humbe ndosa
 
Sio wote wanaotoka Sansibar wanafila fiasi fya Makandana. Mimi sifili, mwe!
 
uwiiii...... ndaga fijo gwa kukaja utukwesisye bo ulu atukwesisye mwaisapile papo ukasoba na kamo ( uwiii .....asante sana wa nyumbani kwa kutukweza kama alivyotukweza mwaisapile kwani hujakosea hata kidogo
 
Back
Top Bottom