Mnh!!!!! Dunia hii!??

mimi mvivu wa kusoma story ikiwa ndefu.ila hii imenihuzunisha,maana nimeisoma yote.jamani mwisho wetu mbaya,yeye hakutegemea.m.me wa kwanza na kuambukizwa juu.frustration zake,akaona bora na yeye aambukize.alikuwa mzuri jamani.mbana watu wanasema miaka ya 80s watu walikuwa wakifa stage kama hiyo,ila sasa hupuputiki kama hivyo,kwa hiyo picha mmh kwa kweli inasikitisha
 
Aaah! Hizo makeup stories! I dont buy the damn story, shouldve made some serious headlines on the newspaper! Lengo la mtunzi wa hiyo riwaya ni zuri; lakn njia za kuunganisha ma2kio wahusika na picha za urongo ili kujenga uwoga haina maana kwa watu wazima bana, all is needed is self awareness na kuuheshimu mwili wako!
 
Jamani huyo dada mbona ni katili hivyo, pamoja na ushauri nasaha aliopewa akaamua kuambukiza na wengine, nadhani yeye aliambukizwa bahati mbaya lakini yeye anaambukia makusudi looh! Kwa kweli inasikitisha halafu anajisifia, bahati yake ni marehemu tayari!
 
Back
Top Bottom