mnawafanya nini walimu wenu kike?

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
kuna *shule moja ya wavulana watupu,ambapo wanafunzi walikuwa manunda ile mbaya,Tatizo wanafunzi hao walikuwa wanawadhrau sana walimu wao wa kike,walikuwa hawafati amri na maagizo ya hao maticha wa kike. Mwalimu mkuu aliamua kulivalia njuga *tatizo hilo.Siku moja aliamua kuawita wanafunzi na walim woote mstarini.. kukiwa na walimu na wanfunzi akawa anahutubia;
MWALIM MKUU:wanafunzi wa shule hii mnatabia mbaya sana nimepata mashitaka kwamba*hamuwatii*walimu wenu wa kike,inashangaza wanafunzia wakubwa,mmebarehe lakini mambo yenu kama watto wa primary school.Kwanini hamuwatii walimu wenu hapa shuleni?
mnawadharau?!
WANAFUZI:kwe! kwe! kwee! mmmh!
MWALIM MKUU:Mnacheka nini,kama wwe frank juzi nlikuona na *mwalm ester kwenye kile kichaka akikupa adhabu ya kufyeka majani *ulifanya kitu?
 
Back
Top Bottom