Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 6,919
- 7,529
Wale waleeemleta mada huna jipya.unajifanya kama mambo Fulani kumbe kama maharage ya wapi..kuja kutaka kuwaharibia watu biashara,,kwanza ulilazimishwa..mi mwenyewe nimewai kujiunga na kusimama kwa sababu binafsi ila siwezi kuja kuponza kwani hakuna utapeli ukifuata mfumo wao ulivyo unapata.
NETWORK MARKETING NDO BIASHARA YA KARNE.We endelea na kuajiriwa tu au biashara binafsi utakuja kunikumbuka,na umemkashifu huyo dada kwa jili ulimpa lifi,ulizia akina ENOS CHILATO MAY GRACE LIGHTNESS na wengi wanavyoenjoy na unayoiponda.
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!