Mnaoponda upinzani; ni nani anaweza kuwatetea na kuikosoa serikali kama CHADEMA?

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Heshima kwenu wana jf! Nimeamua kuandk hili kutokana na baadhi ya watu kuonekana kukiponda CHADEMA (upinzan) kuwa hawana lolote,wanapinga kila ki2.naomba wanijb haya

1.serikali ya CCM bila upinzani inaenda?
2.ni chama gani kama siyo CHADEMA kinaonesha kutetea wananchi na kuikosoa serikali effectively?
3.bila upinzani hasa CHADEMA ungewezaje kutambua uozo wa serikali ya CCM?

Rai yangu
upinzani una nafasi kubwa kuikosoa serikali na kutetea wananchi.bila upinzani tanzania inge/takuwa screpa. CHADEMA Wameonesha ukomavu katika hili kuliko wapinzani toka vyama vingn na hili liko wazi!

VIVA CHADEMA! MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU KIBARIKI CHADEMA!
 
Sijaona walilofanya.Labda ungesema ni nini walichofanya kuboresha maisha ya mtanzania... otherwise just keep on talking
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.
 
ulitaka wafanye kipi kama chama cha upinzani ambacho hawajakifanya....kwenye ilani ya chadema walisema wataanza mchakato wa katiba ndani siku mia moja kama wang'e chukua nchi lakini pamoja na kwa hawaongozi nchi lakini baadhi ya ilani za chadema zinafayiwakazi
 
Nadhani utalipata hili zaidi pale watakapowakilisha bajeti yao kama kambi rasimi yaupinzani j3.Unasemaje?Kwamuda woote ujaona nini mkabala kwa Cdm kama Ccm wanakosea?Nadhani j3 utaanza kupata kitu,sikiliza Bunge j3.
 
Watu wanauliza chadema haisemh itawafanyia nini Watz, hivi wauliza maswali hawa wanataka majibu yapatikane hapa Jf? Mbona chadema imetamka na kuna machapisho kadhaa yanayoipambanua chadema ni nani na inataraji kuwafanyia Watz nini !

Kuhoji imewafanyia nini watz kwa leo ni swali la kitoto na kizushi, hivi unaweza kuwauliza watu wanaofunga ndoa mbele ya padri kuwa " Hivi ninyi mmewatunzaje watoto wenu na hali ndiyo wanafunga ndoa?" subiri waoane, wazae ndipo uhoji juu ya afya ya watoto wao!

Subiri chadema ichukue madaraka ndipo iiulizwe kwa itakachokifanya.
 
Sijaona walilofanya.Labda ungesema ni nini walichofanya kuboresha maisha ya mtanzania... otherwise just keep on talking

sidhani kama umeshirikisha kichwa chako kikamilifu kabla ya kucomment
 
Heshima kwenu wana jf! Nimeamua kuandk hili kutokana na baadhi ya watu kuonekana kukiponda CHADEMA (upinzan) kuwa hawana lolote,wanapinga kila ki2.naomba wanijb haya

1.serikali ya CCM bila upinzani inaenda?
2.ni chama gani kama siyo CHADEMA kinaonesha kutetea wananchi na kuikosoa serikali effectively?
3.bila upinzani hasa CHADEMA ungewezaje kutambua uozo wa serikali ya CCM?

Rai yangu
upinzani una nafasi kubwa kuikosoa serikali na kutetea wananchi.bila upinzani tanzania inge/takuwa screpa. CHADEMA Wameonesha ukomavu katika hili kuliko wapinzani toka vyama vingn na hili liko wazi!

VIVA CHADEMA! MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU KIBARIKI CHADEMA!
Safi sana!
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.

sidhani kama wewe unawasikiliza chadema vizuri.

Ritz jaribu kuwasikiliza vizuri,kunyume na hapo unataka kutuonesha wewe ni mpinzani.
Ata la mfuko wa cement haujalisikia?

Jaribu kuwa mkweli kidogo.
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.
Mkuu hapa umenena vyema.
 
Cdm wanafanya kazi nzuri inayo fanya watanzania waamin.

Kazi ya ukombozi wa wanchi kifikira iliyowashinda wake wa nyinyiemu, cdm wameifanya na wataendelea kuifanya.

Asiye liona hilo ana lake jambo.
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.
Wanasemaga lakini sikio la kufa CC magamba wanachuja wanalotaka.
Sera nyingi ambazo magamba wanazibeba bila kujua jinsi ya kutekeleza ni Sera za CDM. Katiba mpya ilipingwa vikali na Waziri wa sheria wakati huo na mwanasheria mkuu lakini kelele za nguvu ya UMMA zimeshinda umeona mwenyewe. Yote mazuri yalikwibwa na magamba originated from CDM.
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.

Kasome ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya Mwaka 2010. Gamba kilaza
 
ulitaka wafanye kipi kama chama cha upinzani ambacho hawajakifanya....kwenye ilani ya chadema walisema wataanza mchakato wa katiba ndani siku mia moja kama wang'e chukua nchi lakini pamoja na kwa hawaongozi nchi lakini baadhi ya ilani za chadema zinafayiwakazi
Usiwe mvivu wa kufikiri, mchakato wa katiba mpya ni hoja ya NCCR. Kwa kuwa Zanzibar wanayo yao mpya, Tanzania ilnabidi nayo iwe nayo mpya.CDM haiwezi kuishurutisha CCM hata siku moja. Chama cha upinzani kazi yake ni kuchukua madaraka, till then you can't measure your sucess based on flimsy bills zinazopitishwa bungeni. Upinzani siyo sifa, ni u-looser!!
 
Back
Top Bottom