Mnaoiona Zanzibar ni ndogo na fukara kajifunzeni Qatar, yanayofanyika kule Watanganyika Milioni 60 wanayaota tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,128
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
 
Kuonekana ni jambo moja na mikataba ya kimangungo ni jambo jingine
 
Kabla ya Muungano Walikuwa Wafadhili hata Mwalimu Nyerere aliangalia TVZ kujua ya huko Duniani halafu ndio akawa anakuja kutusimulia!
Wakapigwa vita kwa maendeleo yao

Kuna aina ya laana tuliipata ndio maana tuna kila kitu ila tunaona umasikini tu

Haiwezekani tunakosa maarifa kabisa na kila kitu tunacho
Tubadilike na tuwache fikra za yule waziri na akili zake akasema Sultan atarudi

Wengi bado wanaogopa eti tutakuwa watumwa tena
Kuna watu wanaogopa kutawaliwa na humu wamo wengi, sasa kama sio laana ni nini
 
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
Kwa IQ gani waliyonayo Wazanzibar mpaka wafanye mambo kama ya Qatar!
 
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
Qatar ni mafuta, sema wameyaheshimu sana
 
Kabla ya Muungano Walikuwa Wafadhili hata Mwalimu Nyerere aliangalia TVZ kujua ya huko Duniani halafu ndio akawa anakuja kutusimulia!

Mhhh hawa inabidi tuwakandamize na kuiba rasilimali zao zote afu ndio tujitenge
 
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
na nyie si muondoke muwe nchi ili muwe kama quatar au dubai? sisi Tanganyika tunayo mipango ya kwetu. sio watumwa wa waarabu, never.
 
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
Tambua kuwa zanzibar ipo africa wangekuwa wanawapenda sana waarabu wangeenda commoro kwanza cos hajaungana na nchi yeyote
 
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
Kwa akili ya Feitoto nilivomsikia anahojiwa na kina Kipanya, Wazanzibar ni weupe kichwani.
 
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo

Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina

Je, unazijua Nchi ya Vatican?

Natoa angalizo tusiwaponde Wazanzibari kwa sababu hatujui Kati ya Nyerere na Karume nani alimuomba mwenzake Waungane

Nawasalimu kwa Jina la Muungano!
Je Wazanzibari Wana uwezo mkubwa wa kiakili?
Kama ndiyo kwanini wanajiita wa Oman?
Wayahudi usiwafananishe na Wazanzibari, uwezo wao wa akili ni mkubwa mno.
Je vipi Haiti?
Vipi Papua Guinea?
Vipi Comoro?
Vipi Mauritius?
Mbona nao ni visiwa lakini hakuna mafanikio makubwa?
Ishu sio idadi ndogo , ishu ni je idadi hiyo ndogo Ina akili?
Watazame Wazanzibari waliokuwa viongozi, je walikuwa na akili ya kuwavusha watu wao kiuchumi, kiteknolojia na kisiasa?
 
Back
Top Bottom