Mmmmh Huyu jamaa ananusa nini?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
kivazinoma.jpg
 
Jamani Dada zetu uu! Yaani wamepoteza maadili kabisa! Halafu na huyu mshkajiii. Hizi tabia kazianza lini?
 
Yaani anakagua kama "kufuli" inaonekana kwa nyuma binti akitembea mbele za watu
 
Anacheck Oil kwenye gari, kabla hajaondoka nalo!!!!!!!!!Afanaleki, kufa hakuna breki!!!!!!!!!
 
Huyu jamaa ni fundi gereji by profession, kwa hy hapo alikuwa anacheki kama injini inavujisha oil au seal ipo tight! Hlf gari yenyewe ni used ya kenya kwa hiyo inabidi aikague kwa umakini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom