Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

Hiyo ni kweli lakini huyu alitakiwa afanyiwe kama not enough thread zake zote zilichanwa live mpaka kakimbia jamvi

sina huo muda wa kushughulika na mpumbavu ngoja nirudi kwenye kazi zangu....mchana mwema Dena.
 
aaaaaaahhhhhhhh shit!!! Michelle and Dena nimefadhaika mwili na roho!!!

ama kweli njia ya mwongo ni fupi!!!
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Wapendwa mbona munaniacha njia panda? Jana ni2ma thread inayosema natafuta mpenz wa mkataba.cha kushangaza wa2 wakawa wana complain kwamba nimeanza mapenz nikiwa na umri mdogo.wengine wakadriki kusema kwamba wanamiaka 26, 28, lakini hawajawah guswa/gusa. Kwani mapenz ni nini hasa? Au ndo ku do? Kwangu mimi mapenz ni zaid ya kufanya ngono.ina maana kwamba wale walio do2 ndio wanaoumia wakiachwa? Sasa mbona kwangu ilikua tofauti??? Mapenz nini hasa usije kuta mimi nimeelewa kivingine. Wanaoruhusia kudo si wale2 walio katka ndoa? Au? Nijuzeni plz!!

Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Huyo ndo nothing4good

Kazi kwenu
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?

Michelle ni yeye. me pia kanshangaza huyu!
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?
ndio mimi
unajua michelle huyu kaka alikua ananichanganya sana sasa nikaona bora nitafute wamkataba nimtupe yeye chini labda naweza 2lia lakini wap namkosa na yeye tena u wi wi !
 
ndio mimi
unajua michelle huyu kaka alikua ananichanganya sana sasa nikaona bora nitafute wamkataba nimtupe yeye chini labda naweza 2lia lakini wap namkosa na yeye tena u wi wi !

Mmmhhhhhhh ????????????????????????????????????????????????????
 
Kinachokera ni pale mcharuko anapolalama kupokwa hawara wakati aaah ngoja tu nitulie maana nina presha ya kupanda bila kushuka!
 
Wandugu naomba msaada. Mimi nina mchumba wangu 2ko ktk process za harusi. alishanitambulisha kwao na nikakubalika. Mimi ninaishi na mamdogo. Mamdogo ndiye aliyenilea so nikama mamangu. SO Nilimpeleka Mchumba wangu kwanza kwa mamdogo kumtambulisha kabila ya ha2a nyingine na mamdogo ndiye aliyewaambia ndugu zangu wengine. na akasema kuwa atagharamia kichen party na send off kwa kuwa mimi nikama mtoto wake. ndugu zangu karibu wote wanamjua huyo kijana.sasa cha ajabu mamdogo ameanza kunikatisha tamaa. ananiambia mbona huyo mwenzako anaoneka haja2lia? Nimzuri 2 wasura hana kingine hakufai mwanangu. Tafuta mwingine mbona wanaume wako wengi? na maneno mengine mengine kibao. Mimi nikamjibu nampenda hivyo hivyo alivyo mamdogo.baada ya kuona sielekei kumwacha akaanza kumwaga upupu kwa ndugu zangu wote kwamba yule kaka hanifai. Ndugu zangu wakaanza kumchukia huyu kijana. Cha kushangaza naona mamdogo yuko karibu sana na mchumba wangu nikimuuliza anasema wanashughulikia mambo ya ndoa ye2. Siku moja mawifi zangu (ukweni) wakaniita na kuniuliza hivi huyo ni mamdogo wako kabisa? Nikawajibu ndio. yeye na mamangu ni wa2mbo moja walishangaa na kusema mbona sasa anafanya mambo ya ajabu vile? Nikawauliza mambo gani hayo wakasema nisubiri niolewe kwanza ndo wataniambia coz wanaogopa kuuvunja uhusiano we2. (mimi na kaka yao) katika chunguza yangu nimegundua mamdogo ananichukulia mchumba wangu. Nimuachie mchumba wangu au Nifanyeje??

Nadhani kumwachia ni jambo la busara...Kama ulivyosema ni kama mama yako...mpe nafasi ya kuwa mama, mheshimu tu na msikilize alivyosema... After all kama ni mchumba kwa jinsi unavyoeleza atakuwa ameishachakachua...... usitake muambukizane maradhi na mama mdogo....kwa sababu ya mchumba asiyekuthamini. Tena mie nakushauri ukimbie mbio ndefu maana uki ng'ang'ania uko unakokwenda (kwenye ndoa) ndo kugumu zaidi. Kula kona utapata mwingine anaekupenda na kukueshimu.
 
Heee!
Kabla hujamwacha ongea na mchumba ako kwanza akueleze kulikoni.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom