Mmiliki Jambo Plastic awajibishwe

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Kama mazingira ya kazi ndiyo hayo, mmiliki wa kiwanda cha Jambo Plastics awajibishwe.
 
Nimesikia hii habari kwenye redio
nikawa najiuliza kwa nini walilazimishwa kuvaa kama manamba?
 
Sasa hii si mngeweka kule kwenye ile nyuzi ya mwanzo kuhusu hiki kiwanda.
 
NI Mchangiaji mzuri sana huyu kwa CCM wakati wa Kampeni so si rahisi serikali ikamwajibisha kirahisi. Ni sawa na Al adawi na Rostam!
 
Back
Top Bottom