Mmh jamani mke wangu ...

Hawa wanaokwambia mkeo aende gym naona wanataka kuongeza tatzo lingne tena kwenye familia" wewe mwache tu kuna kipindi atapungua hiyo ni hali ya muda!
 
Acha kumsimanga mkeo kwa kunenepa,kwani hujui kuwa mwanamke akizaa anaongezeka?

watu mbona wamezaa watoto mpk 6 laini wanaweza kujicontroll miili yao huko ni kutokujipenda tu,unene bila ya mpangilio ni hasara,si tu kwamba inakuharibu ww bali hata mapenzi kwa mpenz wako yanapungua kama hapendi maumbile hayo ukizingatia alishawah kukwambia
 
Habari wana bodi.

Natumai hamjambo?

Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?

Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.

Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.

Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje?

MLETE KWANGU MWEZI MMOJA TU ATAKUWA MISS WORLD, Maana nikitoka kurudi saa tisa usiku na nikiingia ndani naingia na mlango na huko ndani nitahakikisha panakuwa GAZA STRIPE baada ya hapo tutakwenda ziara ya Tarime na Rorya nadhani tukirudi utampenda sana mkeo msaada wangu kwako ni huo unasemaje?
 
naskitika kwamba ulipenda kibasmati na wala hukumpenda mke

Mmmmh ...! Justified
Unene in any case sio dili? Unene ni uvivu, unene sio smart, ni uzembe, ni ugonjwa na hatima yake unaharakisha kifo. Lakini pia hamtendei haki mme anayependa kmobitel, she belong to him, she has to make him happy
 
sikia my dia kama mkeo kanenepa mpeke gym na ikiwezekana uende naye na uwe kiongozi wake mfanye mazoezi pamoja...Maumbo ya wanawake yanabadilika haswa baada ya kujifungua hio ni asili,labda wale wenye asili ya maumbo madogo ndo hawanenepi sana!!
 
Page ya pili sasa unashauriwa,amepungua kilo ngapi?
Mpende hivyo alivyo maana ndio wa kwako!!
 
Acha kumsimanga mkeo kwa kunenepa,kwani hujui kuwa mwanamke akizaa anaongezeka?

Not necessarily, mbona wanawake kibao wanarudia maumbo yao ya zamani after childbearing, ila wengine wanajiachia or unakuta ni after effects za birth control methods.
 
Mtangazie kwamba kwa kuwa hataki kubadilika, una-intend kusajili nyumba ndogo
 
heeeee jutamo....

nae hyo dada kajiachia sana ndoa ishakaa mkao wa chura kujifungua sio kujichia kiivyo ndo ujiachie jaman
wanawake sisi ndo tunatafuta majanga kwenye ndoa

kikubwa mpe mazoezi gym,pia mlo ........

akiamua yawezekana mkuu kwa maana huo unene sio wa asilia
 
Back
Top Bottom