Mmeisikia hii ya bahati na sibu ya Taifa na Winlot?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Jana kwenye taarifa ya habari itv, hawa Winlot wamesema kuwa tz ina mazingira mazuri ya kuchezesha bahati na sibu. Nikaenda mbali zaidi na kugundua kuwa wamefanya kautafiti wakagundua kuwa watz wana shida na hela ila hawana njia halali na za kuaminika za kujiongezea kipato. Mtz huwa anatembea akiota kuokota hela. Uchumi wa mtz uko mashakani kiasi kwamba wapo vultures wanaona kila uwezekano wa kuvuna kutokana na sintofahamu hizi za kiuchumi. Mtanzania usihadaike na hizi bahati na sibu
 
mwanzo simwelewa mkapa tulivyo ambiwa watanzania ni wavivu wa kufikiri!
hawa jamaa wanajua tunapenda dezo dezo watoto wa kijiweni wanaita zali
kazi ipo
 
pamoja na hali halisi bado kuna watanzania wataamini kabisa kuwa ni wao wameandikiwa kupata hizo hela za bahati na sibu. Wanasali kwanza kabla ya kucheza
 
Back
Top Bottom