Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,820
- 59,407
Hivi sikukuita kwenye tenda? Niliuza siku nyingi baada tu ya kuijua jf
Nani alikwambia JF ni jumba la misaada?
Hivi sikukuita kwenye tenda? Niliuza siku nyingi baada tu ya kuijua jf
Rejao na Bishanga
@rusian &mphamvu mbona naona majibu yenu yametofautiana.
Ntamwambia babu Bishanga asikupeleke vakesheni
afu sikujui hunijui achana na mimi - Lizzy &The Finest
tumemaliza kufanya tendo la uumbaji. Nalog off
Vyenu vyote havina alama ya TBS, changu kina TBS
afu yule mtu ananikondesha mie?!
Ila dawa yake iko jikoni, kweli ntambandika ulimbo siku moja
mwenzio ananenepa tena na mtambi hiha!
Washawash kwa ku log Off? mimi nina log On basitumemaliza kufanya tendo la uumbaji. Nalog off
Safi kabisa. Umeona eh! Nitakuwa sijalenga vizuri kama vipi na leo nitalirudia game. Nalog offintelijensia inaniambia hamjaumba kitu.
Kanyaboya hilo bob...
Sawasawa?
Bora ulog on,ukilog off Mzizi hautokuwa Mkavu,hahahaha. Nalog offWashawasha kwa ku log Off? mimi nina log On basi
Nakusubiria nione utaamka saa ngapi leo!Rejao na Bishanga