Mlokole aangukia majaribuni

Msakapanofu

Member
Dec 2, 2011
67
22
Kuna cha'P' mmoja aliokoka na kushuhudia kwamba kati ya dhambi zote kubwa alizofanya kulewa kupita kiasi ni moja wapo.Kumbe siku alizokuwa akizuga kuokoka alikuwa 'apeche aroro'. Siku ya siku akapata bingo kutoka kwa mjori wake wa siku nyingi (akarudishiwa millioni moja aliyokuwa anadai). Mlokole mpya huyo akajisahau na kuamua kupitia viwanja vyake vya zamani kupata moja moja moja ya ng'ara (a.k.a ya mbeho)! Alilewa kupita kiasi! walokole wenzake waliitwa na kumchukua mwenzao akiwa tilalila mpaka kwa 'Pastor Laki'. Baada ya kuwekewa mikono na kumwagiwa maji, ulabu ukapungua kidogo. akaulizwa na 'Pastor Laki' mpendwa vp leo umemruhusu shetani akutawale!??, Yule mlokole akajibu, "Siku zooote Bwana "ametamaLAKI" leo tu Shetani "KutamaMILIONI" inakuwa nongwaaaaa, aaagh akatapika. kesho yake akajikuta amebakiwa na laki moja tu, akaenda kwa Pastor na kumwambia daah! "sasa bwana ametamaLAKI tena!! Bwana asifiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...................PASAKA NJEMA.........
 
you shall not take the Lord's name in vain, because the lord will not count guiltiness he who takes his name in vain!!!!
 
you shall never take the Lord's name in vain, because the lord will not count guiltiness he who takes his name in vain!!!!

"USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO,MAANA MUNGU HATAACHA KUMHESABIA HATIA ATAJAYE JINA HLO KWA UPUMBAVU",Kwa tafsiri kama mtoa mada ni product ya shule Lowasa
 
Kuna cha'P' mmoja aliokoka na kushuhudia kwamba kati ya dhambi zote kubwa alizofanya kulewa kupita kiasi ni moja wapo.Kumbe siku alizokuwa akizuga kuokoka alikuwa 'apeche aroro'. Siku ya siku akapata bingo kutoka kwa mjori wake wa siku nyingi (akarudishiwa millioni moja aliyokuwa anadai). Mlokole mpya huyo akajisahau na kuamua kupitia viwanja vyake vya zamani kupata moja moja moja ya ng'ara (a.k.a ya mbeho)! Alilewa kupita kiasi! walokole wenzake waliitwa na kumchukua mwenzao akiwa tilalila mpaka kwa 'Pastor Laki'. Baada ya kuwekewa mikono na kumwagiwa maji, ulabu ukapungua kidogo. akaulizwa na 'Pastor Laki' mpendwa vp leo umemruhusu shetani akutawale!??, Yule mlokole akajibu, "Siku zooote Bwana "ametamaLAKI" leo tu Shetani "KutamaMILIONI" inakuwa nongwaaaaa, aaagh akatapika. kesho yake akajikuta amebakiwa na laki moja tu, akaenda kwa Pastor na kumwambia daah! "sasa bwana ametamaLAKI tena!! Bwana asifiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...................PASAKA NJEMA.........

usilitaje bule jina bwana MUNGU wako.........!!!! shwainiii
 
Vague!
 
Back
Top Bottom