Mlipuko wa red eyes Dar, April 2015

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,093
Kuna mlipuko wa red eyes sehemu kubwa ya jiji la Dar.

Wizara kimya, Serikali kimya.

Hili nimeligundua baada ya dawa ya IVYDEXNEOCIN kuisha kwa kasi sana kwenye maduka ya dawa muhimu (pharmacies)

Dawa zote ambazo ni related to DEXAMETHASONE AND NEOMYCIN EYE/EAR DROPS zimenunuliwa kwa kasi sana na kuisha kwa muda mfupi sana hasa maeneo ya Mbagala, Kigamboni Mjimwema, Buguruni, Kitunda, Mwenge & Gongolamboto.

TAHADHARI:
Tuchukue tahadhari kwa kuwa wasafi na kuwa mbali na waathirika.

Kuwa makini kwenye mikusanyiko.
 
Naona red eyes imeenea mahali pengi sana hata Morogoro muda huu red tupu
 
Ukihisi tu unatatizo hilo, we chukuwa medicated soup, nawa macho na hakikisha masho yamewasha kwa sababu ya ukali wa sabuni. Km utakosa hiyo dawa.
 
hiyo supu unaweka ndimu na pilipili au huweki ?
 
Attachments

  • macho+mekundu.jpg
    macho+mekundu.jpg
    42.9 KB · Views: 282
Last edited by a moderator:
Nilifikiri ugonjwa huo unaua, kumbe rangi tu tena nyekundu, ukizingatia nami ni mnazi wa MNYAMA! Kiroho safi tu!
 
Nami niliupata siku tatu zilizopita. Ila nilitumia maji ya uvuguvugu nikachanganya na chumvi nikawa nayakanda kwa kitambaa safi na chepesi.Hakika hii dawa ilinisaidia sana kwani nimepona sasa
 
Kuna mlipuko wa red eyes sehemu kubwa ya jiji la Dar.

Wizara kimya, Serikali kimya.

Hili nimeligundua baada ya dawa ya IVYDEXNEOCIN kuisha kwa kasi sana kwenye maduka ya dawa muhimu (pharmacies)

Dawa zote ambazo ni related to DEXAMETHASONE AND NEOMYCIN EYE/EAR DROPS zimenunuliwa kwa kasi sana na kuisha kwa muda mfupi sana hasa maeneo ya Mbagala, Kigamboni Mjimwema, Buguruni, Kitunda, Mwenge & Gongolamboto.

TAHADHARI:
Tuchukue tahadhari kwa kuwa wasafi na kuwa mbali na waathirika.

Kuwa makini kwenye mikusanyiko.

Stigma At Work..
 
Yaani mimi tangia wiki iliyopita mpaka sasa ni majanga tu! Kwani ni nini hii?
 
Nami niliupata siku tatu zilizopita. Ila nilitumia maji ya uvuguvugu nikachanganya na chumvi nikawa nayakanda kwa kitambaa safi na chepesi.Hakika hii dawa ilinisaidia sana kwani nimepona sasa

Hata maji ya uvuguvugu na detol original pia inasaidia sana..Lkn detol unatumia kdg sana. Au medicated soap.
 
Back
Top Bottom