Mlio wa bodaboda wakati wa kujisaidia haja kubwa

Mapya Yaja

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
560
403
Ni kawaida kutoa sauti wakati wa kwenda haja kubwa, Ila naona kwangu nimekuwa too much maana nikienda haja kubwa natoa mlio kama wa pikipiki iliyochomolewa exhaust. Najisikia embarrassed hasa napohisi kuna mtu ananisikia ndo haja hupoteza kabisa.

Naomba ushauri wa kitabibu wa kuepuka tatizo hili.
 
Back
Top Bottom