Mlimsikia Magufuli akigusia ushindi wa asilimia mia moja?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Sauti,uso(facial expression) na macho ya mh. Magufuli yalionyesha furaha ya ushindi wa asilimia mia moja?

Katika hotuba yake nzima,kuna mahali allitamka kwa kujivunia ushindi wa nadra wa asilimia mia moja?

Ukiacha Magufuli,kiongozi gani mwingine aliepata nafasi ya kuongea alitamka neno/maneno ya ushindi wa asilimia mia moja?

Mimi sikusikia ila kwakuwa ushindi wa asilimia mia moja si kitu cha kawaida,nilitarajia kusikia walau kauli ya mshangao na kujipongeza kutokana na kupata bahati ya kipekee ya kuchaguliwa kwa asilimia mia jambo ambalo ni nadra sana kutokea lakini haikuwa hivyo.
 
Sauti,uso(facial expression) na macho ya Magufuli yalionyesha furaha ya ushindi wa asilimia mia moja?

Katika hotuba yake nzima,kuna mahali allitamka kwa kujivunia ushindi wa nadra wa asilimia mia moja?

Ukiacha Magufuli,kiongozi gani mwingine aliepata nafasi ya kuongea alitamka neno/maneno ya ushindi wa asilimia mia moja?

Mimi sikusikia ila kwakuwa ushindi wa asilimia mia moja si kitu cha kawaida,nilitarajia kusikia walau kauli ya mshangao na kujipongeza kutokana na kupata bahati ya kipekee ya kuchaguliwa kwa asilimia mia jambo ambalo ni nadra sana kutokea.
Jana niliweka kwa urefu sana uzi wa aina hiyo lakini watukufu moderators wakautumbukiza mahali pengine , nakuona mwenye bahati sana kwa uzi wako huu kubakishwa mpaka muda huu .
 
Sauti,uso(facial expression) na macho ya mh. Magufuli yalionyesha furaha ya ushindi wa asilimia mia moja?

Katika hotuba yake nzima,kuna mahali allitamka kwa kujivunia ushindi wa nadra wa asilimia mia moja?

Ukiacha Magufuli,kiongozi gani mwingine aliepata nafasi ya kuongea alitamka neno/maneno ya ushindi wa asilimia mia moja?

Mimi sikusikia ila kwakuwa ushindi wa asilimia mia moja si kitu cha kawaida,nilitarajia kusikia walau kauli ya mshangao na kujipongeza kutokana na kupata bahati ya kipekee ya kuchaguliwa kwa asilimia mia jambo ambalo ni nadra sana kutokea lakini haikuwa hivyo.
Kumbe hata nyie bavicha mlikuwa manaangalia mkutano wa ccm hadi mkakariri facial expression ya Magufuli!???

Mkutano wa kamati kuu yenu mlimwachia nani??

Sasa tukiwaita ni Ng'ombe waliokatika mikia wa mtandaoni tutakosea??
 
J
Hawa jamaa ni hatari sana, hawaangalii hata jinsi historia itakavyowasoma. Walianza na mchezo wa kuwaibia wapinzania kura lakini sasa wameamua 'kujiibia' wenyewe!

JPM ana kazi ngumu sana!!!
 
Unapokuwa mgombea pekee huo tayari ni ushindi wa asilimia miamoja.Jiulize mbunge aliyepita bila kupingwa ushindi wake huwa ni asilimia ngapi kisha utapata logic
 
Kumbe hata nyie bavicha mlikuwa manaangalia mkutano wa ccm hadi mkakariri facial expression ya Magufuli!???

Mkutano wa kamati kuu yenu mlimwachia nani??

Sasa tukiwaita ni Ng'ombe waliokatika mikia wa mtandaoni tutakosea??
Mimi sina chama Tanzania. Naweka wazi.

Lakini nauliza swali.

CHADEMA kuangalia jinsi CCM wanavyoendesha mkutano wao kuna ubaya gani wa kukufanya wewe mpaka uwaite watu ng'ombe?

Ndivyo mnavyofundishwa na viongozi wenu wa CCM hivyo au wewe umechepuka tu?
 
Kumbe hata nyie bavicha mlikuwa manaangalia mkutano wa ccm hadi mkakariri facial expression ya Magufuli!???

Mkutano wa kamati kuu yenu mlimwachia nani??

Sasa tukiwaita ni Ng'ombe waliokatika mikia wa mtandaoni tutakosea??
Kwenye makongamano kama haya ya ccm huwa tunaangalia namna wanavyosigina katiba yao , baada ya matokeo kutangazwa ilisikika minong'ono kutoka kwenye kundi lililopiga kura ya hapana ambalo inasemekana ni zaidi ya nusu ya wajumbe !

Tuombe Mungu wale waliojipanga kukata rufaa kesho Jumatatu labda watishwe .
 
Back
Top Bottom