Mlezi wa watoto anahitajika

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Wana JF;

Kwa mara nyingine niombe msaada wenu. Anahitajika mwanamke wa kuangalia watoto na kufanya kazi za nyumbani.

Mume na Mke wanaohitaji mtu wa kazi wote ni wafanyakazi, wanaishi Dar es Salaam. Nyumba ni ya familia ya watu 6 (Mke, Mume na watoto wa-4). Mlezi wa watoto atatakiwa kuwepo Jumatato hadi Jumamosi, anashinda na watoto hadi jioni saa 12 (Jumamosi saa 8), Jumapili Mapumziko.

Vigezo na sifa zifuatazo:-
UMRI: Awe zaidi ya miaka 28
UZOEFU: Mwenye uzoefu wa kufanya kazi hizo zaidi ya mwaka
DINI: Preferably awe Mkristo
MSHAHARA: Maelewano

Kwa mdada mwenye mtoto/watoto, anayefahamu ulezi atapewa kipaumbele zaidi

Kwa mwenye kumfahamu mtu tafadhali ani-PM au apige simu +255 755 338994/ +255 715 329994 (Uliza MSHENGA)

Asante
 
.................Da hizo specifications ni ngumu kupata mkuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom