Mkuu wa mkoa wa Morogoro, mshughulikie Dr. Nyagori kwa tuhuma hizi za vyeti feki

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,241
4,466
Kama mkuu wa mkoa wa Morogoro unamwakilisha Mhe. Magufuli, basi agiza vyeti vya mtu anayejiita Dr. Haruni Nyagori, ambaye amekuwa akitumia vyeti feki, na kujiita daktari bingwa wa moyo. Anapata mshahara mkubwa asiostahili. Kuna thread hapa chini na gazeti la Raia Mwema waweza zipitia.

Na hata gazeti la Raia Mwema lilishawahi kumuandika

Update:
Ukisoma profile ya Nyagori linkedin inaonesha kati ya 2005 hadi 2011 alikuwa mwanafunzi wa Lugansk huko Ukraine, lakini pia anaonesha katika ya mwaka 2008 hadi mwaka 2012 alikuwa Medical Officer Incharge wa Mbeya Regional Referral Hospital na pia kama Physician Cardiologist. Lakini wanaomfahamu wanasema alifanya internship Mbeya Referral Hospital mwaka kati ya 2006 hadi 2007, ambako kwa kuwa hajui kitu, zamu zake zote alikuwa akiwauzia madaktari wenye njaa wazifanye.
Kuna wakati alikuwa anaonesha kasoma Cardiology Switzerland, na kuna kipindi aliandika kasoma Germany. Sasa wajiuliza ilikuwaje miaka hiyo aoneshe alikuwa shule wakati alikuwa mkoani Mbeya (ambako alifukuzwa baadaye) hasa ukizingatia kozi alizosoma huwezi fanya ukiwa nje ya chuo?

Mytake
Serikali hususani mamlaka za TAMISEMI na Wizara ya Afya vimchunguze Dr. Harun Nyagori wa Morogoro.
Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa madaktari wa digrii hasahasa waliosoma vyuo vya Russia na Ukraine.
Serikali ichunguze uhalali wa mishahara kwa baadhi ya madaktari kama Nyagori, ambaye mara baada ya kuingia tu kwenye ajira alipewa scale kubwa isiyomstahili
Serikali ichunguze uhalali wa vyeti vya sekondari vya madaktari, hasahasa vyeti vya form VI. Madaktari wengi walifoji vyeti vya form VI
 
Nyagori anatiliwa mashaka toka akiwa Mbeya ni muda sasa achunguzwe
 
Hivi kama kweli ni fake muda wote huu serikali haijagundua?. SOMETHING MUST BE WRONG SOMEWHERE.
 
Nyagori anatiliwa mashaka toka akiwa Mbeya ni muda sasa achunguzwe
Hivi tangu 2013, angalia gazeti la Raia Mwema, huyu jamaa awe hajachungzwa tu, halafu ahame toka Mbeya kwenda Morogoro uchunguzi ugome? Kwa nini iwe sasa?
 
Hivi tangu 2013, angalia gazeti la Raia Mwema, huyu jamaa awe hajachungzwa tu, halafu ahame toka Mbeya kwenda Morogoro uchunguzi ugome? Kwa nini iwe sasa?
Inaonekana wizara wanataka malalamiko kwa njia ya barua la sivyo hawashughulikii. Serikali ina wajibu wa kuondoa hofu wananchi wake hata kama malalamiko sio rasmi, kwa jinsi huyu bwana alivyoandamwa hasa wakati akiwa Mbeya maana nilikua Mbeya kipindi hicho nakumbuka ilibidi serikali wafanye uhakiki wa uhalali wa taaluma yake. Kama atakuwa ni Dr kweli mbona rahisi tu kuwathibitishia wananchi na kuwatoa hofu. Hii kukaa kimya na kuficha ficha inaleta mashaka zaidi.
 
...wakati huo huo, Dr Nyagori alikuwa na offer kubwa, ya kuwa personal Dr wa moyo wa mtu mkubwa sana smwhr. Angekuwa na vyeti basi hiyo taasisi ingeshajua coz walimfatilia muda.
 
Inaonekana wizara wanataka malalamiko kwa njia ya barua la sivyo hawashughulikii. Serikali ina wajibu wa kuondoa hofu wananchi wake hata kama malalamiko sio rasmi, kwa jinsi huyu bwana alivyoandamwa hasa wakati akiwa Mbeya maana nilikua Mbeya kipindi hicho nakumbuka ilibidi serikali wafanye uhakika wa uhalali wa taaluma yake. Kama atakuwa ni Dr kweli mbona rahisi tu kuwathibitishia wananchi na kuwatoa hofu. Hii kukaa kimya na kuficha ficha inaleta mashaka zaidi.
Nani yupo tayari kuandika barua? Ila kwa jinsi ninavyofahamu serikali ilishachunguza kivyake vyake "vetted him", na kuona hakuna madhara, maana kada ya utabibu si ya kuchezea kama kada zingine, hivyo asingekuwepo kibaruani.

Aidha uikipitia malalamiko ya wananchi na watumishi wa kule Mbeya tuhuma kwa jamaa ni ubakaji na ubabe, na hio ya ufake wa elimu/ taaluma ni kama mengineyo tu. Tusubiri tuone.
 
IMG_5119.JPG

Wenye wivu mjinyonge, jamaa kawakilisha Tanzania katika mkutano wa madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo nchini Mexico! Endeleeni kuandika kuwa kafoji vyeti...
 
Ila kama kuna wasiwasi si achunguzwe na ukweli wake uanikwe ili kuwaondolea wagonjwa hofu ya 'kukutana nae'? Ni hilo tu.
 
Kama ni feki basi watu wafekishe kwingine jamani, kwenye kugusa gusa moyo...??!!
 
unnamed%2B%252812%2529.jpg

Daktari wa Kwanza Bingwa Mshauri wa Maradhi ya Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro nchini Tanzania Dr.Harun Elmada Nyagori azawadiwa Tuzo ya Kimataifa na kutambuliwa na Baraza la Madaktari Bingwa wa shirikisho la Nchi za Ulaya(European Society of Cardiology) -London Uingereza'Akipewa hiyo Tuzo ya Heshima na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto alimwelezea imekuwa Historia kubwa kumpata Daktari aliyewakilisha Mada za Utafiti wa Maradhi ya Moyo kutoka Tanzania na hawajawahi kumpata Mtanzania aliyewahi kuingia kwenye Shirikisho Hilo Hivyo Dr Nyagori amefungua mlango kwa Madaktari wengine kufanya tafiti mbalimbali zinazohusu hiyo taaluma ya magonjwa ya Moyo. Dr Nyagori akiwa na muasisi wa Kimataifa na Mwandishi wa Vitabu vikuu wa taaluma hiyo

unnamed%2B%252810%2529.jpg

Nyagori akiwa na wajumbe wenza walioteuliwa kuingia kwenye Shirikisho Hilo la Madaktari Bingwa wa Ulaya wakiwa na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto

unnamed%2B%252813%2529.jpg

Prof.Eugine Brawnward, Dr Nyagori na Rais wa Shirikisho Hilo la Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo prof. Pinto Dr Nyagori amealikwa na Shirika la Utangazaji BBC kwa mdahalo maalumu kuhusu hiyo Tuzo,taarifa kamili zitarushwa Focus on AfricaDr
 
Wivu na roho Mbaya itaua watu, ukiona hivyo wazembe wanagombania nafasi aliyonayo ndio maana figisu figisu tu.

Huyo Magufuli mwenyewe anawekewa figisu kuwa hafai, itakuwa huyu mdogo?
 
Kama ni feki basi watu wafekishe kwingine jamani, kwenye kugusa gusa moyo...??!!
Hicho ndio kinakuchanganya? Anafanya hivyo kwa nguvu ili kujiingiza kwenye hizo community. Hata wewe waweza jilipia pesa na kwenda kwenye hiyo mikutano. Huwa hawaangalii vyeti. Matapeli ni wajanja wajanja.
 
Hii ni noma.. Anaweza kuwa si specialist wa magonjwa ya moyo, ila ana bidii kusoma hayo magonjwa ya moyo, na ni Dr by first degree in medicine..!!!
Bahati mbaya hana hata first degree, yeye ni clinical officer. Bahati mbaya zaidi hajui chochote zaidi ya kutaja magonjwa ya moyo tu. Ambao huwa wanashiriki mikutano anayokimbilia wanamjua.
 
...wakati huo huo, Dr Nyagori alikuwa na offer kubwa, ya kuwa personal Dr wa moyo wa mtu mkubwa sana smwhr. Angekuwa na vyeti basi hiyo taasisi ingeshajua coz walimfatilia muda.
Hahahaaa. Ofa ipi hiyo mkuu? Nyagori huyu? Unadhani ni rahisi kiasi hicho kuwa daktari wa kiongozi mkubw? Nyagori inafahamika hadi UWT kwamba alikuwa anatumia vyeti feki. Lakini uongozi wa awamu ya nne uliingia mkenge wa kudhani yeye ni daktari bingwa wa moyo, ulipogundua ikawa too late kujirekebisha. Maana waliona aibu.
 
Back
Top Bottom