Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo amewasimamisha kazi maafisa elimu wa Halmashauri sita

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa maafisa elimu wa halmashauri sita za mkoa wa Mara huku Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri hizo.

Watakiwa kujieleza baada ya kushindwa kutoa zawadi za watumishi bora wa idara ya elimu kwa mwaka mmoja hadi miwili hatua ambayo amesema inachangia kushusha ari ya utendaji wa kazi kwa watumishi hao.
 
Hapa kazi tu. Lazima waisome namba ndo wataelewa
 
Maafisa elimu wa halmashauri 6 na wakurugenzi 6 wajieleze?. Kwani Mara ina halmashauri ngapi? Afisa elimu mkoa vipi kamuacha? Mi jamani sielewi
 
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa maafisa elimu wa halmashauri sita za mkoa wa Mara huku Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri hizo.

Watakiwa kujieleza baada ya kushindwa kutoa zawadi za watumishi bora wa idara ya elimu kwa mwaka mmoja hadi miwili hatua ambayo amesema inachangia kushusha ari ya utendaji wa kazi kwa watumishi hao.
Hivi mtumishi wa serikali kama anatakiwa kujieleza ni lazima kusimamishwa kazi kwanza? Kwa nini asijieleze akiwa anaendelea na kazi na kama maelezo atakayotoa hayatoshelezi ndipo asimamishwe kazi?
 
Back
Top Bottom