Mkuu wa kituo cha polisi mkoa wa morogoro

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Ndugu zangu naomba tujadili, nisahihi polisi kuwafanya waendesha bodaboda,vijana walioamua kujitafutia riziki na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya,uporoji na utapeli, njia ya ukamataji yenyewe ni kuvamia kupiga kama wanamkamata jambazi, nilipojaribu kuwahoji baadhi ya polisi wameniele kwamba wao wamepewa amri na mkuu wao,lengo lao nikusanya mapato nawanaeleza kwamba mkuu wakituo anamaongezi nao waenda pikipiki wote. swali langu ni je, nikweli kwamba mkuu wa kituo ameshindwa kabisa kutafu njia rahisi ya kuwahamasisha kuwakusanya hawa vijana?,kwanini kuwageuza mtaji hawa vijana ambao pia ndio ajira yao?. WATANZANIA KUNAHAJA YA KUCHUKUA HATUA.
 
Back
Top Bottom