Mkuu umenikosea sana kwenye Xmas

Nakualika kama mtu wa karibu.

Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?

Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.

SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Acha uchoyo ndugu.
Kumbuka unapomualika mtu hasa kwenye christmass hakikisha una chakula cha kutosha kwasababu matumbo yanapishana.
Unamualika msukuma unategemea atakula kama mjita?
 
Back
Top Bottom