Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

Mughwira

Senior Member
Jun 10, 2008
109
34
Wakiwa wamejipanga kumsikiliza mgombea wa Chadema Bw. Joshua Nassari wananchi wa Usa River eneo la Leganga wamevamiwa na Polisi Na kupigwa na mabomu yasiyo hesabika. madai ni kwamba Leo ilikuwa zamu ya CCM. sina uhakika sana na Madai ya Chama tawala.

Update:
Leo CCM walikuwa wana mkutano wao eneo LA Usa River (Usa Juu) maarufu Site. Chadema walikuwa na mkutano wao Leganga, CCM baada ya kuona mkutano wao utakosa watu ndipo wakafanya hujuma kupitia Polisi kuwafurusha Chadema Leganga ili wao wapate watu Usa River. Hata hivyo Chadema hawakukata Tamaa wamefanyia mkutano wao eneo la Kilala.
 
CCM ni UNYAMA ,ni mharibifu wa amani,Watashindwa tuu .no way out.
 
Katika hali isiyotarajiwa police wamepiga mabomu ya kutosha na kusambaratisha mkutano wa chadema na ukawa leganga.
 
Wakiwa wamejipanga kumsikiliza mgombea wa Chadema Bw. Joshua Nassari wananchi wa Usa River eneo la Leganga wamevamiwa na Polisi Na kupigwa na mabomu yasiyo hesabika. madai ni kwamba Leo ilikuwa zamu ya CCM. sina uhakika sana na Madai ya Chama tawala.

Mwaka huu lazima hao policcm watalielewa somo la nguvu ya umma
 
sikuona haja ya mabomu wangeweza kuongea tu kwa sababu kilichokuwepo ni Gari la matangazo na wananchi wengi kiasi. Polisi busara ni ndogo sana.

Hawawezi kutumia busara wakati wanafuata maagizo ya wanene
 
Kuna sababu ila unaificha

yes sijakataa ila kwa nn wasinegotiate tu na vyama kama ratiba zimeingilia? ccm wanatumia siasa za vitisho ili wananchi waone wapinzani wana fujo, wrong approach.
 
yes sijakataa ila kwa nn wasinegotiate tu na vyama kama ratiba zimeingilia? ccm wanatumia siasa za vitisho ili wananchi waone wapinzani wana fujo, wrong approach.

Kwa hiyo unataka kutuambia hicho ndicho Nasari alikuwa anataka? kuwa aingilie ratiba ya watu ili wanegotiate??!!!
 
Back
Top Bottom