Mkutano wa majadiliano wa mwaka 2013 wa CRB 23-24 Mlimani City!

Yeccotltd

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
201
21
Mkutano wa majadiriano wa mwaka 2013 wa CRB UTAKAOFANYIKA LEO TAREHE 23-24 May 2013 ukumbi wa Mlimani City

Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huu atakuwa Waziri mwenye dhamana ya Ujenzi Mh John Pombe Magufu!

Kwahuduma za UJENZI, UMEME na Teknolojia ya Mawasiliano waone:

YECCO (T) LTD

Simu: +255 715 865544
+255 755 865544

Baruapepe: yeccotltd@yahoo.com,
yerickonyerere@gmail.com

Fika katika Ofisi zetu zilizo Mtaa wa Samora, Jengo la Coronation jirani na Sanamu ya Askari!

Karibuni sana!
 
Nami nitakuwepo. Ukiona m'bibi anatabasamu wakati wote muambie hi king' (ukisema king'asti na kama sio mimi utaambulia manundu).
Utakuwa mkutano mzuri wa kuwekana sawa, natumaini.
 
Nami nitakuwepo. Ukiona m'bibi anatabasamu wakati wote muambie hi king' (ukisema king'asti na kama sio mimi utaambulia manundu).
Utakuwa mkutano mzuri wa kuwekana sawa, natumaini.

Haahaa karibu sana tuwekane sawa na jamhuri hii,
 
Back
Top Bottom