Mkutano wa Jangwani Mei 26: Polisi walumbana na CHADEMA!

Huo niuoga tu inamaana hizo intelijensia zinafanya kazi kwa cdm tu.vyeti feki tu.
 
Nimeona ni busara kuwaomba polisi wetu akiwamo na Coplo baba yangu.
Amani ya nchi hii inataka kuharibiwa na mwenye nyumba mwenyewe, Nawaomba msikubali kutumiwa kwa namna yoyote kwa hila za wanasiasa. Amani ikitoweka wewe kama polisi, mjeda, mfanyakazi wa serikali utakuwa na taabu sawa na mtz yeyote.
Kwa hiyo naomba tusimwage amani yetu kwa kuahidiwa vinono ambavyo hujawahi pata tangu Uhuru.

Wtz ni walinzi kama nyinyi wenyewe, ukitaka kuamini hilo jiulize swala la ulinzi shirikishi unasaidia???????.
Kama jibu lako ni ndiyo basi mtu akitaka haki yake ya kikatiba apewe.
Naamini watz wanatii sheria sana wasiposimamiwa na kuwekewa masharti magumu kama "mkikutwa mmeongozana njiani kwenda mahali fulani mfano, Jangwani; mtakuwa mmekiuka agizo hivo mtakula mabomu". Yote haya hayana mantiki. Waache uone kama wataleta shida.

Wapo walioshindwa sera sasa hivi wanajaribu kutumia mbinu chafu, nawaomba askari wetu msiache taaluma zenu mkatii wanaotaka kuwatumia kwa faida yao wenyewe. Achana nao!!!!. They are soon going to perish!!!!!.
 
naaamin kama manjagu wanapita humu wamepata ujumbe mkuu, maana nao wala vichwa box wakipewa amri wanateleza tu any way ila ngumu ya uma ipo.peoples power
 
Tukichoka watatuona hawa polisi na chama chao, si tunaishi nao mtaani tena nyumba za kupanga chama chao kimeshindwa hata kuwajengea nyumba. Watakiona cha moto wapige mtu leo.
 
hizo ni kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji, wana CDM tuzidi kusonga mbele kuelekea eneo la mkutano
 
Back
Top Bottom