Mkutano wa CHADEMA USARIVA-MAGADIRISHO

viongozi wanatoa nasaha zao kwa muda huu

c5fabc13-6820-c3ce.jpg
pg[/IMG]
 
Mbona ni wa kushitukiza sn mkutano huo, na wewe unayeripoti pia unashitukiza tu? hujui wengine wana presha?
 
mgeni rasmi ni kamanda MILIYA
kwa sasa wanatoa mafanikio ya mbunge mh Nasari juu ya elimu na miundombinu
 
Makamanda wanatoa onyo na karipio kwa ccm kutoa ofisi zao kwenye majengo ya serikali
 
Miliya ndio yuko jukwaani
c5fabc13-6c67-4889.jpg
sasa

kamanda anazungumzia tatizo la kulindana na kutiana hofu juu ya wananchi kujiunga na vyama vya upinzani. Kamanda anasema alipokua ccm eneo la kusini mw tz lilitumia kofia na t-shirt nyingi kuliko eneo lolote la tz ila maendeleo kwao ni mwiko kwa hyo tukatae rushwa kwa nguvu zote
 
Kweli hii ni operation kabambe kila kona ya nchi wanamwaga cheche.
Cheche hizi zikija kuungana sijui nini kitatokea.....
 
wengine hawana uwezo wa kutuma picha ndugu yangu, lakini cha msingi ni kwamba ametaarifu.
 
State House haitakuwa tena White House, bali Blue House.....YES WE CAN!!
 
Hata hivyo ccm watasema wameshtukizwa kwa nchi kuongozwa na chadema...hivyo usijali sana "paka jimmy" hizi ni ngumi za chap chap....usoni kwanza!!!
 
mkutano umeisha tumevuna wanachama 50 na sh. 179550/- kwa kata c haba hela hzo ni za kuimarisha tawi
 
Aiseee baba yangu mnafaidi sana huko kwa kusikiliza sauti za busara kama hayo
 
Back
Top Bottom