Mkutano wa chadema ifakara leo, mh Suzane Kiwanga na mh Kasulumbai..

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
8,008
13,733
Suzane ndo kakamata mic kwa sasa, anasema pesa zinazotolewa na serekali kuu kwa ajili ya maendeleo ya mikoa, mkoa wa morogoro ndo unapata mgao mdogo wakati unachukua 8% ya ardhi yote ya tz. Data anazo,anatusomea...operation sangara itaanza rasmi mkoani hapa trh 4 august
 
Back
Top Bottom