kuku dume
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 414
- 62
Siku ya kesho makamanda wa M4C Mkoa wa Ruvuma watakuwa wanapeleka uokombozi katika kata ya Mletele nje kidogo ya mji wa Songea.
Mkutano huo utaongozwa na viongozi wa mkoa wa Ruvuma.
Usafiri utakuwepo toka ofisi za Chama pale Mfaranyaki na nauli ni 2000 kwenda na kurudi.
Nitakwenda na hivyo nitawaletea halisi kutoka katika eneo la tukio.
M4C forever!