Mkulu wa kaya anaunguruma

MNAFIKI Tu, Sasa Jipya Lipi Hapo!! Kama Kigezo Cha Kugombea Ni Afya Na Ucheshi!! HEBU MTUAMBIE Wkt Ule Watia Nia Wakichukua Na Kurudisha Form Na Pia Wkt Wa KUMTAFUTA MGOMBEA, Mbona Hatukuona Madaktari Wakiwapima Watia Nia!! Au Mbona Hatukuona Kipengele Cha Kuwataka Watia Nia Kuwasilisha VYETI Vya Kupima Afya!!!?? Aache UONGO!!
 
Tungemuelewa kama wangempeleka mahakamani kama akina mramba na yona bila kufanya hivyo ni umbea na uzushi wa kisiasa au siasa za maji taka mbona wakati lowassa amejiuzuru akuyasema hayo alisema ni ajari za kisiasa je tuamini lipi kata ya hayo mawili??

Kwa akili za watz walivyo na ushabiki uchwara jinamizi litatawala hadi litolewe na wachache kwa nguvu.

Watu wanashangilia kama wehu
 
Hakuna Jipya!! Yaani CHAMA Cha Familia, Eti Angelina Mabura Na Stan Mabura!! Didas Masaburi Na Janet Masaburi!! Ndorooobai!!
 
screpa;
Kweli mnahitaji msaada sana Kama chama chenyewe hakikuwapa sera wafanyeje?? Walishajieleza kwa wapiga kura, wakajiona hawawavutii sasa si watoke angalao wametukana kidogo huo mwiba wao?? Naunga mkono hoja.
Kesho kutwa waseme,; Kushinda ;limetushinda lakini mitusi tulilitukana. Hapo ngoma droo. CCM hawana sera. Kama si wizi wa kura lichama hili lisingelipata kura 10 Tanzania nzima. Huo ndo ukweli naomba msinichukie

Naunga mkono!
 
MNAFIKI Tu, Sasa Jipya Lipi Hapo!! Kama Kigezo Cha Kugombea Ni Afya Na Ucheshi!! HEBU MTUAMBIE Wkt Ule Watia Nia Wakichukua Na Kurudisha Form Na Pia Wkt Wa KUMTAFUTA MGOMBEA, Mbona Hatukuona Madaktari Wakiwapima Watia Nia!! Au Mbona Hatukuona Kipengele Cha Kuwataka Watia Nia Kuwasilisha VYETI Vya Kupima Afya!!!?? Aache UONGO!!

Ulitaka uambiwe kila jambo? ungeambiwa maana yake msingemchukua edi
 
Kikwete Rais wangu umeniangusha kweli kweli

Mafisadi unawaacha hivi hivi wanadunda kama ulivyofanya wauza dawa za kulevya??

Mbona sheria za nchi yangu haziniambiii watanyimwa kugombea Urais na kusemwa majukwaani??
Cathode Rays: kwa jina HILO, unapaswa KUWA na bongo za kumlika fikra na kuzitafakari kisha ukazitafakuri kwa usahihi.

Mafasadi kifo chao kilikuwa siku CCM ilipomteua Magufuri kugombea Urais. Mashabiki wa mafisadi waache waandamane CCM mbele kwa mbele. CCM imejipanga na mwaka huu mafisadi na vyama vyao wataisoma.

Hujachekewa TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Last edited by a moderator:
Inahuzunisha sana cathode ,Sheria zilizomuweka jela Babu seya zimeshindwa kumweka jela Fisadi?..Sitaki kuamini kama Rais ndo analalamikia jukwaani?Acha awe rais chochote kitakachotokea kitokee..Ntampa kura Lowassa kwa maamuzi magumu ya kukataa chama chenye nguvu,kumkataa rafiki wa muda mrefu JK,Pengine siku moja atafanya maamuzi magumu ya kumpeleka FISADI yeyote mahakamani.
muxar, soma nilivyomjibu Cathode Rays: urafiki ulimnusuru rafiki, tingatinga litamtingua.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Last edited by a moderator:
Cathode Rays: kwa jina HILO, unapaswa KUWA na bongo za kumlika fikra na kuzitafakari kisha ukazitafakuri kwa usahihi.

Mafasadi kifo chao kilikuwa siku CCM ilipomteua Magufuri kugombea Urais. Mashabiki wa mafisadi waache waandamane CCM mbele kwa mbele. CCM imejipanga na mwaka huu mafisadi na vyama vyao wataisoma.

Hujachekewa TAFAKARI CHUKUA HATUA

muxar, soma nilivyomjibu Cathode Rays: urafiki ulimnusuru rafiki, tingatinga litamtingua.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Kwa hiyo unataka kunihakikishia theory yangu kuwa CCM kuna kulindana ni sahihi??

Mh Kikwete aliniaminisha kuchukua hatua dhidi ya Ufisadi kwa kuiunda upya na Kuimarisha TAKURU na kuja kuiita TAKUKURU.....Hebu kuwa muwazi tuseme imemshughulikia nani hata tuweze kujisifia?? Tutaaminije Magufuli atawaweza??

Kama yeye na Lowassa walikuwa marafiki (washkaji kama unavyosema) Je sheria ya TAKUKURU ina kipengele chochote kinachosema "mshkaji" wa Rais hatachukuliwa hatua za kisheria akifanya matendo ya kifisadi??

Natamani tuangalie hili nje ya mtazamo wa kura lakini kwa manufaa mapana ya taifa letu
 
Last edited by a moderator:
Yaani Kikwete safi sana Lowassa Mzee wa Richmond Phantom Co. Huna pakujibu siku zimeisha ndo utajua wewe ni mdogo sana ktk Nchi hii

Siyo kweli wanamuogopa kwanini wasingemshitaki kabla hajaja Ukawa???.Makinika sana huo ni Usanii tu wa Sisi Mafisadi.
 
Back
Top Bottom