Dar_Millionaire
JF-Expert Member
- Aug 6, 2008
- 227
- 82
Wana-JF,
Nimegundua tovuti mbili muhimu kwa masuala ya fedha na uchumi hapa nchini hazipatikani kwa kama wiki moja sasa.
Tovuti hizo ni za Wizara ya Fedha - http://www.mof.go.tz na Benki Kuu http://www.bot-tz.org
Sina uhakika kwa nini tovuti hizi nyeti zimepotea hewani. Isije ikawa tunakosa data kutokana na vita inayoendelea kati ya Zitto na Mkullo.
Sitaki kuamini kwamba taasisi hizi zimekosa wataalam wa kuhakikisha tovuti zao ziko hewani muda wote.