tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Serikali iliwaahidi watanzania kwamba imeanzisha mradi wa mkongo wa mawasiliano ili kufanya mawasiliano kuwa ya kiwango cha juu kwa gharama nafuu. Miaka inazidi kuyoyoma hakuna cha ubora wa mawasiliano au gharama kupungua.Tuieleweje serikali yetu? Gharama za mawasiliano zinazidi kupanda (Mfano gharama za internet za Airtel zimepand kuanzia leo).Serkali iwahurumie wananchi wake kwa kutekeleza miradi inayoanzishwa ili kuboresha maisha.