Mkombozi wa delivery atua nchini

SMD

Member
Oct 30, 2021
12
7
SMAI, is the one among of the leading e-logistic and e-commerce company based in Dar es Salaam offering a door to door delivery in Dar es salaam and upcounties (regions).
we have branches in the following regions where we Accept cash on delivery (COD) to the customer once he/she receive his product or parcels.
1. DODOMA
2. ARUSHA.
3. MOROGORO.
4. MBEYA.
5. MWANZA.
6. TANGA
7. BUKOBA.
8. MOSHI.
9. IRINGA.
10. SONGEA
12. SONGWE

we have a full equipped and trained riders and stuffs with more than 5 years in e-commerce and e-logistic across East and West Africa .

We are located in Dar es salaam, Livingstone/Pemba Binslum Building, Second Floor Office S02.
Call us today: +255677080939 or email us: sudi@smai.co.tz

Welcome

ad smai.PNG
 
Wamechanganya wanaposema malipo ni baada ya bidhaa kufika na hawajaandika ni bidhaa gani na kutoka wapi
Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
 
sasa hizi bidhaa wanazodeliver mbona hatuzioni kwenye tangazo
 
Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
Naomba kua wakala.
 
Ina maana, huko unapoitoa bidhaa inakuwa haijalipiwa ikifika kwangu ndio nailipia au haumaanishi hivyo...?
 
  • Thanks
Reactions: SMD
Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
Iko vizuri hii...
 
ndio unalipia baada ya kupokea mzigo. ndo maana inaitwa CASH ON DELIVERY (COD)

Sasa hili zoezi mnafanya kwa maduka yote au kuna maduka ambayo mmeingia mkataba nayo kufanya hii shughuli...?

Kama kuna maduka husika nadhani mngeyataja ili mteja ajue ni bidhaa gani na gani anayoweza kuipata.

Na mnachaji vipi kwa KM za umbali wa eneo mnalopeleka bidhaa husika au...?
 
hili hufanyika kwa maduka ambayo tunamkataba nayo, lakini pia wewe kama mteja unaweza pendekeza SMAI Express kukuchukulia bidhaa dukani na kukuletea ulipo ukalipa CASH.
Bei zetu ni nafuu sana zinaanzia Tsh. 3000 na kuendelea.
fika ofisini Binslum Plaza, second floor office #S02, au piga simu #0677080939
 
Back
Top Bottom