Mkoloni akimbizwa hospitali

Profesy

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
385
13
Wadau nasikia kwamba Mkoloni ameharakishwa Hospitali baada ya kula mtori. Aise Ni game chafu nini?
 
sio kila kitu lazma iwe siasa... sasa hivi kuna kipindupindu mazee

inategemea mtori kaunywea wapi
 
Mkoloni ndio nani?

mkoloni+(1).jpg

4279170_orig.jpg
 
Mwenyezi Mungu amponye kwa haraka bado anahitajika kuwakomboa vijana wenzie
 
Kutoka kwa source eti amewekewa Sumu kwenye msosi. Ebana Game chafu. :mad2:
 
Wadau nasikia kwamba Mkoloni ameharakishwa Hospitali baada ya kula mtori. Aise Ni game chafu nini?
Na nyie acheni speculations ina maana Mkoloni hajawahi kuugua, siku hizi za kampeni tutasikia mengi hata akionekana anapigia mswaki wa kijani mtasema kanunuliwa huyo.
 
Na nyie acheni speculations ina maana Mkoloni hajawahi kuugua, siku hizi za kampeni tutasikia mengi hata akionekana anapigia mswaki wa kijani mtasema kanunuliwa huyo.
Kama autaki kuamini, - Up to you. Mimi nimepata first hand information.:playball:
 
Kama autaki kuamini, - Up to you. Mimi nimepata first hand information.:playball:
First hand informations doesn't mean accurate informations na kwa nini ulazimishe ni game chafu wewe ni daktari umempima?
 
Maskini Mkoloni wa watu... Lets pray 4 him...

yule mwingine ndo amekumbatiwa na Clouds... Na ile nyimbo yake ya kitoto eti ... "KUMBE...KUMBE ALAAA!!!
 
Na nyie acheni speculations ina maana Mkoloni hajawahi kuugua, siku hizi za kampeni tutasikia mengi hata akionekana anapigia mswaki wa kijani mtasema kanunuliwa huyo.

Unachangia vizuri kwa mtazamo mbadala; lakini hapa sioni kama una chembe yo yote ya huruma na tatizo la Mkoloni kwani hukumbuki kuwa huyu ni "Public Figure" hasa kwa zile tungo za kundi za Wagosi wa Kaya ambazo bado zinakidhi nyakati hizi
 
First hand informations doesn't mean accurate informations na kwa nini ulazimishe ni game chafu wewe ni daktari umempima?

First hand information he/she might be having is that Mkoloni is sick after having poisoned "Mtori". The Poisoned "Mtori" being caused by dirty games is another issue. Taking the prevailing issues specifically anti virus and politics one may join the dots and conclude. The question is, is that information correct?
 
Back
Top Bottom