Mkitoka out na mpenzi wako mnachangia bili au?

Hainaga ushemeji

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
451
777
Binafsi nikitoka na msichana nishaamua kuugulia maumivu tu mwenyewe, maana nishapata aibu kipindi cha nyuma, kuna manzi nilimlisha sana bata kipindi hiko, kuna weekend kaniomba tutoke, nikamwambia nipo ovyo kama vipi asimamie shoo, duh alichonijibu sasa, 'haina shida, wear some heels too"

Kuanzia hapo nimeamua kufa na tai shingoni, vipi nyinyi wakuu? Bili mnachangia au?
 
Sasa mkuu MANZI unategemea akujibu nini tena zaidi ya majibu ya aina hiyo? Mie natoka na wife, toka siku za mwanzo nilikua nimejiwekea utaratibu wa kuchukua jukumu la kuweka mambo sawa kila tukitoka. Nikiwa vibaya akasema tutoke analipia kiroho safi. Na hajawahi kubadilika hadi leo hii, tuna miaka zaidi ya sita.
 
Sasa tofauti yetu nini hapo? Nlikua vibaya na niliweka wazi
 
Mwanaume rijali hawezi kumuacha ampendaye alipie bili huo zi uzezeta.Binafsi mimi hata wanaume wengine wanaoelewa thamani ya mwanamke siwezi changia bili naye hata kama sina ntafanya kila liwezekanalo nisimamie show.
 
Mkuu hii ni 2016,we ain't in the 60's.. Hawa viumbe nao si wanafanya kazi
 
Sasa tofauti yetu nini hapo? Nlikua vibaya na niliweka wazi

The thing is, unatoka na MANZI au nimesoma vibaya bandiko lako mkuu? Mie natoka na wife, au toka enzi hizo mchumba wangu. Kuwa vibaya is not a crime, kila mmoja wetu at somepoint tunakua vibaya.

Experience ya kutoka na unaowaita MANZI (I don't like that name) sina!!
 
Nimekusoma
mkuu, kama ni wife haina shida, ni kama anatoa hela mfuko huu anahamishia mwingine
 
Nimesoma mkuu, kama ni wife haina shida, ni kama anatoa hela mfuko huu anahamishia mwingine

Umesoma ila kuna eneo haujalielewa vizuri kiongozi, tokea enzi hizo tupo marafiki alikua na hiyo tabia, tena sio tu kulipia bill sometimes alikua anaweza kuninunulia kitu au kunipa msaada wa kitu chochote nilipokua na uhitaji, hilo ni miongoni mwa vitu vilivyonifanya nithamini upendo wake kwangu.
 
Binafsi kama sina pia kutoka sitaweza , na akilazimisha kuwa atalipa lazima nitafute tu mwenyew makadirio ya gharama tutayotumia niwe nayo mfukon, siwezi kumuachia bill kiukweli hata kinywaji hakitashuka!

And that is the difference kati ya mvulana na mwanaume
 
Back
Top Bottom